Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Kesho nikimaliza futari nikae kwenye TV kuangalia bingwa wa magoli messi wangu apewe kombe lake kama alivopewa jini wa ubelgiji Eden hazardTarehe 3 jmosi saa 21:30 yaani kesho
Kesho nikimaliza futari nikae kwenye TV kuangalia bingwa wa magoli messi wangu apewe kombe lake kama alivopewa jini wa ubelgiji Eden hazardTarehe 3 jmosi saa 21:30 yaani kesho
Eden hazard yule wa chelsea ama. Mbona madrid hakuna mess au sijaelewa. dem boy kubali tu juve anachukua ndooKesho nikimaliza futari nikae kwenye TV kuangalia bingwa wa magoli messi wangu apewe kombe lake kama alivopewa jini wa ubelgiji Eden hazard
Ndoo atachukua madrid Mungu akipenda Messi nimekosea kumueka hapa si nafasi yake hii ni nfasi ya Christian Ronaldo hawa watu wawili wanaenda sambamba nashindwa kukubali kumpenda mmoja lakini nampenda Ronaldo kushinda MessiEden hazard yule wa chelsea ama. Mbona madrid hakuna mess au sijaelewa. dem boy kubali tu juve anachukua ndoo
Mess ndio namkubali zaidi. Ujiandae kwa kweli mana Juventus sio timu ya mchezo mchezo.Ndoo atachukua madrid Mungu akipenda Messi nimekosea kumueka hapa si nafasi yake hii ni nfasi ya Christian Ronaldo hawa watu wawili wanaenda sambamba nashindwa kukubali kumpenda mmoja lakini nampenda Ronaldo kushinda Messi
Mchezo wa Ronaldo watauona kesho uwanjaniMess ndio namkubali zaidi. Ujiandae kwa kweli mana Juventus sio timu ya mchezo mchezo.
Mchezo huu lazima penati zipigweMess ndio namkubali zaidi. Ujiandae kwa kweli mana Juventus sio timu ya mchezo mchezo.
Tuombe uzima tuamke salamaKizee cha Turin kitakimbizwa mbaya na vijana wa perez
Mchezo wa wa mwisho ndio mshindi umegeuka kuwa mchezo wa mpira.Mess ndio namkubali zaidi. Ujiandae kwa kweli mana Juventus sio timu ya mchezo mchezo.
Afya hazijambo. Sijui wewe?Mchezo wa wa mwisho ndio mshindi umegeuka kuwa mchezo wa mpira.
Habari zenu wote humu ndani, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya
Wewe umenikaribisha peke yako, wengine wako wapi?Afya hazijambo. Sijui wewe?
Wapi kwani umepita hadi nimekuona peke yangu. Itakuwa hawajakuona badoWewe umenikaribisha peke yako, wengine wako wapi?
Bado sijawaona, sijui bado wamelala!Wapi kwani umepita hadi nimekuona peke yangu. Itakuwa hawajakuona bado
bado rais wa nchi anapanga safu yake ya uongozi ....Wapi kwani umepita hadi nimekuona peke yangu. Itakuwa hawajakuona bado
Uongozi wa mchezo huu lazima nichaguliwe mimibado rais wa nchi anapanga safu yake ya uongozi ....
Mimi pia naweza kuwa msaidizi wa kiongoziUongozi wa mchezo huu lazima nichaguliwe mimi
kiongozi bora ni yule anayesikiliza mawazo na ushauri wa anaowaongozaMimi pia naweza kuwa msaidizi wa kiongozi
Anaowaongoza wenyewe ndio wasiotaka kumshauri yote hayokiongozi bora ni yule anayesikiliza mawazo na ushauri wa anaowaongoza
Anawaongoza ndo wenye mawazo mengi chanya ila Magu anazinguakiongozi bora ni yule anayesikiliza mawazo na ushauri wa anaowaongoza
Anaowaongoza wenyewe ndio wasiotaka kumshauri yote hayo