mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Iweje saa hizi kuangalia mwezi?Haiwezekani kabisa hata iweje.
Iweje saa hizi kuangalia mwezi?Haiwezekani kabisa hata iweje.
Mwezi ulishaonekana sasa hivi ni kufunga tu ndio kumebakiIweje saa hizi kuangalia mwezi?
kumebaki ni kitenzi au ni nomino?Mwezi ulishaonekana sasa hivi ni kufunga tu ndio kumebaki
Liko wapi kulee KinyamweziJalala kuu Tanzania clijui liko wapi
Kinyamwezi sikijuiLiko wapi kulee Kinyamwezi
Sikijui lakini najaribu "mwadila"Kinyamwezi sikijui
''Mwadila" bila shaka ni neno la kibantuSikijui lakini najaribu "mwadila"
Kibantu ndo lugha gani''Mwadila" bila shaka ni neno la kibantu
Mbona unajifanya hulijui kanakwambwa sio mtanzaniaNini maana ya hilo neno Mwifwa sijawahi kulisikia mbona
Mtanzania ni mvumilivu sana haijawahi kutokeaMbona unajifanya hulijui kanakwambwa sio mtanzania
Kutokea wapi tena wakati muda wote tupo pamoja hapaMtanzania ni mvumilivu sana haijawahi kutokea
Hapa hata hatujawahi kuonana wala kutembeleanaKutokea wapi tena wakati muda wote tupo pamoja hapa
Kutembeleana tumeshawahi bana au siku ile ya kikao cha wanachama wa mwisho ndio mshindi pia si tulionana. Umeshasahau tayariHapa hata hatujawahi kuonana wala kutembeleana
Tayari anaanza kujisahaulishaKutembeleana tumeshawahi bana au siku ile ya kikao cha wanachama wa mwisho ndio mshindi pia si tulionana. Umeshasahau tayari
Tayari umeanza kunidanganya, hata kikao hakijaitishwa.Kutembeleana tumeshawahi bana au siku ile ya kikao cha wanachama wa mwisho ndio mshindi pia si tulionana. Umeshasahau tayari
Kujisahaulisha ameshazowea, sa sijui ni umri umekwenda au anafanya kusudiTayari anaanza kujisahaulisha
Kusudi haiambiwi poleKujisahaulisha ameshazowea, sa sijui ni umri umekwenda au anafanya kusudi