dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Zz ndio nan?Mkono nishike tu ukhuty nipo tayari kuwa mwanafunzi wa zz
Zz ndio nan?Mkono nishike tu ukhuty nipo tayari kuwa mwanafunzi wa zz
Huu ndio uzi usiokwisha na hauna mshindiZz ni maarufu kwenye huzi huu
Zaman nilikuwa mdogo sanaWageni wameleta maendeleo angalau sio kama zamani
ZZ ni mwalimu bila mipaka na wakati usiyo mwafaka, utasomeshwa bila bakora....Mkono nishike tu ukhuty nipo tayari kuwa mwanafunzi wa zz
Mshindi alipatika mbona na Zawadi ameshakulaHuu ndio uzi usiokwisha na hauna mshindi
Mishe ile sijakudanganya zilikuja lkn zote zilikuwa ndugu na mwez ujao pia zitakuja lkn ni kubwa zote hubby anasema ndog hazina maslah gbefaMbona ulinidanganya ile mishe
Ameshakula bila kusubiri maji anawe ~~Mshindi alipatika mbona na Zawadi ameshakula
Amesha kula kimya kimya pasipo sisi kujuaMshindi alipatika mbona na Zawadi ameshakula
Mshindi mim emmytaHuu ndio uzi usiokwisha na hauna mshindi
Kujua ndo tumejua leoAmesha kula kimya kimya pasipo sisi kujua
Anawe mikono na sabuniAmeshakula bila kusubiri maji anawe ~~
Gbefa amekuelewa lakini ukimya huwa unamaanisha nini mkuuMishe ile sijakudanganya zilikuja lkn zote zilikuwa ndugu na mwez ujao pia zitakuja lkn ni kubwa zote hubby anasema ndog hazina maslah gbefa
emmyta hana hiyana keshakubali kwa roho moja ushindi ni wako ila sijui hao wengineMshindi mim emmyta
Mkuu mishe mishe tu ndo maan nimeadimikaGbefa amekuelewa lakini ukimya huwa unamaanisha nini mkuu
Kujua kwangu tu imetosha we subiri miaka 20 ijayo mkuu utashinda na hatutajuaAmesha kula kimya kimya pasipo sisi kujua
Wengine pia itabidi wakubalemmyta hana hiyana keshakubali kwa roho moja ushindi ni wako ila sijui hao wengine
Wakubali bure bure bila michuano,, hiyo haiwezekani !!Wengine pia itabidi wakubal
Haiwezekani kabisa hata iweje.Wakubali bure bure bila michuano,, hiyo haiwezekani !!
iweje pale unapoitwa kwenye inter`View ushindwe kujieleza!!Haiwezekani kabisa hata iweje.