Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Haziwapendezi badala yake wanaonekana watu wasio na maadili memaNguo zinazovaliwa na vijana wetu kwa kweli haziwapendezi
Haziwapendezi badala yake wanaonekana watu wasio na maadili memaNguo zinazovaliwa na vijana wetu kwa kweli haziwapendezi
Mema ya nchi sijui tutayafaidi liniHaziwapendezi badala yake wanaonekana watu wasio na maadili mema
Lini yataisha haya mambo ya kutumbuana kila kukicha.Mema ya nchi sijui tutayafaidi lini
Kukicha kwa mfungo raha yake ule daku mapema ili upate sunna ya SAW !!Lini yataisha haya mambo ya kutumbuana kila kukicha.
SAW ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa walimwengu woteKukicha kwa mfungo raha yake ule daku mapema ili upate sunna ya SAW !!
Wote kwa pamoja tuungane kuijenga tanzania ya hapa kazi tu.SAW ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa walimwengu wote
Tukumbuke, sasa hivi tunaisoma nambaWote kwa pamoja tuungane kuijenga tanzania ya hapa kazi tu.
Namba moja kwa waliotangazwa washindi, alikuwa mimiTukumbuke, sasa hivi tunaisoma namba
Mimi nilikuwepo wakati wanakutangaza ila haukustahili ile nafasiNamba moja kwa waliotangazwa washindi, alikuwa mimi
Nafasi hiyo natakiwa nipewe mimi, maana wote vigezo na mashart hamja zingatiaMimi nilikuwepo wakati wanakutangaza ila haukustahili ile nafasi
Zingatia kanuni, mchezo unaendelea.Nafasi hiyo natakiwa nipewe mimi, maana wote vigezo na mashart hamja zingatia
Zaingatia masharti dingimtoto ili upate kuuchukua huo ushindi.Nafasi hiyo natakiwa nipewe mimi, maana wote vigezo na mashart hamja zingatia
Unaendelea kuwa mkali siku baada ya siku bora ukamuone dokta ....Zingatia kanuni, mchezo unaendelea.
Ushindi haupatikani kwa kukaa vijiweni.....Zaingatia masharti dingimtoto ili upate kuuchukua huo ushindi.
Ushindi wenyewe hata posho sidhan kama ipoZaingatia masharti dingimtoto ili upate kuuchukua huo ushindi.
ipo posho na mishahara ya halali, na siyoya kubangiza bangiza au yakuungaunga....Ushindi wenyewe hata posho sidhan kama ipo
Unga utashuka bei debe moja la mahindi(20kg) mbeya ni 10,000/-ipo posho na mishahara ya halali, na siyoya kubangiza bangiza au yakuungaunga....
10,000/= ni mshahara wa siku mbili kwa mhindi kiwandanUnga utashuka bei debe moja la mahindi(20kg) mbeya ni 10,000/-
Kiwandani kwa mhindi huwa kuna manyanyaso hasa kwa wafanyakazi wadogo10,000/= ni mshahara wa siku mbili kwa mhindi kiwandan
wadogo zetu siku hizi wanapiga sana mizingaKiwandani kwa mhindi huwa kuna manyanyaso hasa kwa wafanyakazi wadogo