Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mmoja haiwezekani labda kama umepata ajali na kukusababishia hali kama hiyoMikono au miguu yaweza kuwa miwili au mmoja
Mmoja haiwezekani labda kama umepata ajali na kukusababishia hali kama hiyoMikono au miguu yaweza kuwa miwili au mmoja
Hiyo ya kusababishwa na ajali inawezekana lakini pia waweza zaliwa hivyo.Mmoja haiwezekani labda kama umepata ajali na kukusababishia hali kama hiyo
Hiyo avatar yako inavutia SakayoMmoja haiwezekani labda kama umepata ajali na kukusababishia hali kama hiyo
Sakayo kanishinda mimi!Hiyo avatar yako inavutia Sakayo
Hivyo ni kumshukuru Mungu kwa kila jamboHiyo ya kusababishwa na ajali inawezekana lakini pia waweza zaliwa hivyo.
Sakayo ndio naniHiyo avatar yako inavutia Sakayo
Nani wa kupingana na Mwenyezi Mungu, hakunaSakayo ndio nani
Hakuna ulevi mkubwa kama JFNani wa kupingana na Mwenyezi Mungu, hakuna
Hakuna aijuae keshoNani wa kupingana na Mwenyezi Mungu, hakuna
Kesho ni kesho, kweli hakuna aijuaye , sana sana tunaijua jana na leo.Hakuna aijuae kesho
Leo sijapata muda wa kushiriki mapambano ipasavyoKesho ni kesho, kweli hakuna aijuaye , sana sana tunaijua jana na leo.
Ipasavyo ni vyema kujali kila mmoja wao bila kuwabagua.Leo sijapata muda wa kushiriki mapambano ipasavyo
Kuwabagua sio jambo jema, emmyta hujanipa like yanguIpasavyo ni vyema kujali kila mmoja wao bila kuwabagua.
Yangu like nimekupa bana hebu angalia vizuri. Kwema huko?Kuwabagua sio jambo jema, emmyta hujanipa like yangu
Huko nadhani kwema, huku watu wameanza kwenda lala.Yangu like nimekupa bana hebu angalia vizuri. Kwema huko?
Huko pia kwema! Swaumu inaendaje?Yangu like nimekupa bana hebu angalia vizuri. Kwema huko?
Inaendaje na kwako? Namshukuru m'mungu kwangu inakwenda salama.Huko pia kwema! Swaumu inaendaje?
Salama salimini, siku ya tatu imeisha kesho siku ya nneInaendaje na kwako? Namshukuru m'mungu kwangu inakwenda salama.
Siku ya nne ni kweli kabisa. Panapo majaliwa tutaumaliza tu salama salimini.Salama salimini, siku ya tatu imeisha kesho siku ya nne
Salimini ni neno aina ya kieleziSiku ya nne ni kweli kabisa. Panapo majaliwa tutaumaliza tu salama salimini.