Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Matendo hutambulisha wasifu wa mtuMema na mabaya yote ni matendo
Matendo hutambulisha wasifu wa mtuMema na mabaya yote ni matendo
Mtu pesa babuuMatendo hutambulisha wasifu wa mtu
Babuu mbona hata hunipi like yangu?Mtu pesa babuu
Babuu usilale muda badoMtu pesa babuu
yangu ni yako, ukitaka chukua yoteBabuu mbona hata hunipi like yangu?
bado tiyari... bodo.... hadi liniBabuu usilale muda bado
Lini na mimi nitapata mke wa kunipikiabado tiyari... bodo.... hadi lini
kunipikia pilau labda, mengine sipendiLini na mimi nitapata mke wa kunipikia
Sipendi tabia ya baadhi ya watukunipikia pilau labda, mengine sipendi
Watu kwani wapo wa aina ngapiSipendi tabia ya baadhi ya watu
Ngapi mara ngapi jibu ni sifuri?Watu kwani wapo wa aina ngapi
Sifuri kwa kiiengereza si ndio zeroNgapi mara ngapi jibu ni sifuri?
Zero ni namba ya kwanza au ya mwisho?Sifuri kwa kiiengereza si ndio zero
Mwisho utasema ya kwanzaZero ni namba ya kwanza au ya mwisho?
Kwanza mimi siipendi hii pombe mpya iliyoingiaMwisho utasema ya kwanza
Iliyoingia wapi?Kwanza mimi siipendi hii pombe mpya iliyoingia
wapi tena? kwani hujui pombe mpya imeingia pale mitaa ya magogoni?Iliyoingia wapi?
Magogoni ni machimbo ya mipashowapi tena? kwani hujui pombe mpya imeingia pale mitaa ya magogoni?
Mipasho aliiwezea mkwereMagogoni ni machimbo ya mipasho
Mkwere hana neno siku hiziMipasho aliiwezea mkwere