Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hizi teuzi zimekuwa nyingi, na mimi nitateuliwa hapo baadaeMkwere hana neno siku hizi
Hizi teuzi zimekuwa nyingi, na mimi nitateuliwa hapo baadaeMkwere hana neno siku hizi
hizi ndizo enzi watanzania walizokuwa wanasubiri?Mkwere hana neno siku hizi
Wanasubiria ninihizi ndizo enzi watanzania walizokuwa wanasubiri?
Wanasubiri ifike zamu yao kwenye folenihizi ndizo enzi watanzania walizokuwa wanasubiri?
Nini kwani kuna ugomviWanasubiria nini
Foleni hii hawezi kuwafikia masikini.Wanasubiri ifike zamu yao kwenye foleni
Maskini walikuwepo toka enzi za mkolonii na nyererere kaja kawaachaFoleni hii hawezi kuwafikia masikini.
Kawaacha na ujamaa waweze kujikomboa lakini wakaukataa 1972Maskini walikuwepo toka enzi za mkolonii na nyererere kaja kawaacha
1972 sarafu yetu ilikuwa bado ina thamaniKawaacha na ujamaa waweze kujikomboa lakini wakaukataa 1972
Thamani yake inaweza kupanda wakati wwte ni sisi kujipanga tu1972 sarafu yetu ilikuwa bado ina thamani
Kujipanga tu foleni ya mabasi mwendo kasi imeshindikanaThamani yake inaweza kupanda wakati wwte ni sisi kujipanga tu
Imeshindikana kabisa mimi kuondoka na basi la saa sita mchanaKujipanga tu foleni ya mabasi mwendo kasi imeshindikana
Mchana muda mzuri sana wa kusomaImeshindikana kabisa mimi kuondoka na basi la saa sita mchana
Kusoma tunasoma wengi ila kuelewa tulichosoma ni asilimia ndogo.....!!Mchana muda mzuri sana wa kusoma
Asilimia ndogo ya wana jf hawajui zuri na baya.Kusoma tunasoma wengi ila kuelewa tulichosoma ni asilimia ndogo.....!!
Baya moja huchfua mema yote ya mtuAsilimia ndogo ya wana jf hawajui zuri na baya.
Mtu gani huyo unayemzungumzia?Baya moja huchfua mema yote ya mtu
Unayemzungumzia si yule aliyetaka kununua ile nguoMtu gani huyo unayemzungumzia?
Nguo yangu haiko twahara, haifai kuswaliaUnayemzungumzia si yule aliyetaka kununua ile nguo
Nguo zinazovaliwa na vijana wetu kwa kweli haziwapendeziUnayemzungumzia si yule aliyetaka kununua ile nguo