mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Mizinga ya nyuki haichezewi kama mpirawadogo zetu siku hizi wanapiga sana mizinga
Mizinga ya nyuki haichezewi kama mpirawadogo zetu siku hizi wanapiga sana mizinga
Mpira tulicheza sana enzi tunasoma shuleMizinga ya nyuki haichezewi kama mpira
Shule ya kupigana kujijenga kimaisha inahitaji kutokuwa na papara ili kuweza kufikia milango ya mafanikio.Mpira tulicheza sana enzi tunasoma shule
mafanikio yatapatikana iwapo waelimishaji hawatakuwa na paparaShule ya kupigana kujijenga kimaisha inahitaji kutokuwa na papara ili kuweza kufikia milango ya mafanikio.
Papara nayo si nzuri mana mwisho wake huwa ni aibu.mafanikio yatapatikana iwapo waelimishaji hawatakuwa na papara
Papara nayo si nzuri mana mwisho wake huwa ni aibu.
Kazi inakuwepo pale ambapo wanategemea ajira za serikalini pekeeaibu inakuja pale mtu kapata elimu hadi chuo kikuu lakini miaka mitano hajapata kazi
Serikalini pekee unakuwa na job security.Kazi inakuwepo pale ambapo wanategemea ajira za serikalini pekee
Job security sawa inakuwepo serikalini ila endapo kazi hakuna ni bora kutafuta kazi sehemu nyingine kuliko kukaa pasi shughuli yeyote.Serikalini pekee unakuwa na job security.
Shughuli yoyote siku hizi ni taabu bila kumjua mtu yoyoteJob security sawa inakuwepo serikalini ila endapo kazi hakuna ni bora kutafuta kazi sehemu nyingine kuliko kukaa pasi shughuli yeyote.
Yoyote yule mwenye kuhitaji mahitaji ya nyumbani namkaribisha kwa mikono miliwi.Shughuli yoyote siku hizi ni taabu bila kumjua mtu yoyote
Miliwi haina tofauti sana na miwili!Yoyote yule mwenye kuhitaji mahitaji ya nyumbani namkaribisha kwa mikono miliwi.
Miwili hiyo unayozungumzia ni mikono au miguu sema tuMiliwi haina tofauti sana na miwili!
Tu, nimesema!Miwili hiyo unayozungumzia ni mikono au miguu sema tu
Nimesema habari yako, mzima wewe?Tu, nimesema!
Wewe na mimi nadhani tu wazima, au siyo!Nimesema habari yako, mzima wewe?
Miwili ukimaanisha miguu au mikonoMiwili na mliwi yote miwili
Mikono au miguu yaweza kuwa miwili au mmojaMiwili ukimaanisha miguu au mikono
Mmoja ndo mpangoMikono au miguu yaweza kuwa miwili au mmoja