James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,547
Wako wengi wanatamani kuwa wa mwisho ktk huu uzi lakini wameshindwaMwenyewe umeamua usilale sijui umeahidiwa nini!!
Lala ili kuboresha afya ya mwili wako
Wako wengi wanatamani kuwa wa mwisho ktk huu uzi lakini wameshindwaMwenyewe umeamua usilale sijui umeahidiwa nini!!
Lala ili kuboresha afya ya mwili wako
Wameshindwa hata kuandika sentensi ngumuWako wengi wanatamani kuwa wa mwisho ktk huu uzi lakini wameshindwa
Ngumu zikija hapa nazipaka oil zinakuwa kama mlenda wa kutwangaWameshindwa hata kuandika sentensi ngumu
Kutwanga maji kwenye kinu huna tofauti na BashiteNgumu zikija hapa nazipaka oil zinakuwa kama mlenda wa kutwanga
"Bashite doesn't exist any where in the real world" judge Visent ruled and dismissed the case.Kutwanga maji kwenye kinu huna tofauti na Bashite
Case study?"Bashite doesn't exist any where in the real world" judge Visent ruled and dismissed the case.
Study hii sio case study ni grounded theory.Case study?
Theory is the foundation of practical activitiesStudy hii sio case study ni grounded theory.
Activities za jamii nyingi za rural Africans hazizingatii utunzaji wa mazingiraTheory is the foundation of practical activities
Activities za jamii nyingi za rural Africans hazizingatii utunzaji wa mazingira
Wenzangu wote humu jamvini habari zenu,Kumekucha salama? Mimi namshukuru Mwenyezi Mungu kumekucha salama. Nawatakia mchana wenye amaniMazingira ukiyatunza nayo yatakutunza. Good Morning washiriki wenzangu
Amani inapatikana kwenye busara na kukipa kila kitu haki stahiki.
Zimeshalipwa zile hela ya rambirambi au bado ziko mikononi mwa watu.stahiki za madiwani zimeshalipwa?
Kwema swahiba. Unaadimika sanaZimeshalipwa zile hela ya rambirambi au bado ziko mikononi mwa watu.
Habari za asubuhi , kwema?
Kwema swahiba. Unaadimika sana
Sana sana kule mbali ndio nitaenda.Kwema swahiba. Unaadimika sana
Taabani kwake hajiwezi. Hata emmyta anajuaMzima weye unaepost hapa sasaivi..wengine wako vitandani taabani.
Emmyta anajua jinsi Linamo alivyommiss ila ndio hivyo mambo ni mengi mengi ila tuko pamoja usijali.Taabani kwake hajiwezi. Hata emmyta anajua