James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,547
Chini sana ya kiwango ilicheza timu yetu na kusababisha kutolewa ktk yale mashindano.Kibera ni mji uli karibu na Nairobi ila maisha ya hapo ya hali ya chini sana
Chini sana ya kiwango ilicheza timu yetu na kusababisha kutolewa ktk yale mashindano.Kibera ni mji uli karibu na Nairobi ila maisha ya hapo ya hali ya chini sana
Yale mashindano bora yaliisha maana yalikuwa na upinzani wa hali ya juu.Chini sana ya kiwango ilicheza timu yetu na kusababisha kutolewa ktk yale mashindano.
Hali ya juu ya bidhaa za vyakula imezidi kuwa mbaya ktk nchi ile ya kusini mwa jangwa la Gobi.Yale mashindano bora yaliisha maana yalikuwa na upinzani wa hali ya juu.
Jangwa la gobi ndio lile lililoko Mongolia au nimechanganya madawa.Hali ya juu ya bidhaa za vyakula imezidi kuwa mbaya ktk nchi ile ya kusini mwa jangwa la Gobi.
madawa ya miti shamba husaidia sana japokuwa mengi machunguJangwa la gobi ndio lile lililoko Mongolia au nimechanganya madawa.
emmyta hajambo mzima wa afya. Amewamiss tu nyie.jakitoo mie sijambo kabisa, umeshindaje emmyta
Nyie wapenzi wa uzi huu hamjambo!emmyta hajambo mzima wa afya. Amewamiss tu nyie.
Nimewamiss sana hata mie mana naona leo kuko kimya kulikoni jamani.Nyie wapenzi wa uzi huu hamjambo!
Nimewamiss sana!
Jamani mvua hizi usafiri tabu.Nimewamiss sana hata mie mana naona leo kuko kimya kulikoni jamani.
Jamani majukumu yamenibana sana leo hadi kesho pia hivyo hivyoNimewamiss sana hata mie mana naona leo kuko kimya kulikoni jamani.

Jamani majukumu yamenibana sana leo hadi kesho pia hivyo hivyo![]()

hii emoji inaonyesha huzuniHuzuni ikawakuta familia nzima ya baba na mama Kanyuki ktk nyumba ile iliyoezekwa kwa nyasi.hii emoji inaonyesha huzuni
Jamani chezeni mchezo, mimi bado niko na pilikapilikakaka zakumi sijui kahuzunika nini jamani