Kujitenga sio jambo jema, umoja ni ushindiZanzibar, nao wanataka kujitenga
Kujitenga sio jambo jema, umoja ni ushindiZanzibar, nao wanataka kujitenga
Hilo lipo chini ya kapet bado, halija ibuka juukujitenga!! dingi mtoto mbona mie sijasikia hilo
Ushindi kama tukishirikiana pamojaKujitenga sio jambo jema, umoja ni ushindi
Pamoja wote tupendane na tujivunie kuwa wana jf tunaoheshimiana na kupendana.Ushindi kama tukishirikiana pamoja
Kupendana raha sana jamani
Wamebadilika nini tena kaka chuma cha mjerumani sema tujamani jamani wanawake wamebadilika
Hapa ni mahali pazuri sana kwa kupunguza stresstu ache tuu maana nisije nikakimbizwa hapa
Stress zina ubaya wake mana zikizidi unaweza kuwa nusu chizi.Hapa ni mahali pazuri sana kwa kupunguza stress
Stress zina ubaya wake mana zikizidi unaweza kuwa nusu chizi.
Stress zina ubaya wake mana zikizidi unaweza kuwa nusu chizi.
Haumwi kwa sababu Mungu anamlindachizi anakula uchafu lakini haumwi
Anamlinda kwasababu anampendaHaumwi kwa sababu Mungu anamlinda
Anampenda sana ili kuonyesha ujuzi wake katika mamboAnamlinda kwasababu anampenda
Anampenda sana ili kuonyesha ujuzi wake katika mambo
Anatilinda, ulitaka kusema anatulinda au siyo!mambo haya sijayaelewa kwani sisi ambao sio machizi shetani anatilinda?
Siyo vyema kudanganya wakati umefungaAnatilinda, ulitaka kusema anatulinda au siyo!
Wakati umefunga unatakiwa kutekeleza matakwa yote ya M/Mungu na kujizuia na maasi ili uweze kufikia lengo LA funga