Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Usijali swahiba wangu. Ila leo sijamuona shunnieEmmyta anajua jinsi Linamo alivyommiss ila ndio hivyo mambo ni mengi mengi ila tuko pamoja usijali.
Usijali swahiba wangu. Ila leo sijamuona shunnieEmmyta anajua jinsi Linamo alivyommiss ila ndio hivyo mambo ni mengi mengi ila tuko pamoja usijali.
Shunie huwa anashinda mtaa wa Makapuku kule ukienda humkosiUsijali swahiba wangu. Ila leo sijamuona shunnie
Shunie huwa anashinda mtaa wa Makapuku kule ukienda humkosi
Mapenzi ni kitu adimu sana hayapatika kama Dhahabuhu mkosi gani binadamu tumeupata mtu anachoma watu kisa mapenzi
Mapenzi ni kitu adimu sana hayapatika kama Dhahabu
Nyingi sana ila muda mwingine kuwachoma watu moto kisa wivu wa mapenzi ni ukatili wa hali ya juudhahabu inapitia hatua nyingi sana ni kama mapenzi mpka uoe unapitia hatua nying sana
Mapumziko ya jumamosi na jumapili nayaona kama hayatoshi.Juu ya miti kuna ndege wengi amba hufuata matunda na mapumziko.
Hayatoshi kwa sababu watanzania, hatupend kufanyaz narais anataka tufanye kaziMapumziko ya jumamosi na jumapili nayaona kama hayatoshi.
Kazi zenyewe haziishi lakini ujue, sisi ndio tunaisha.Hayatoshi kwa sababu watanzania, hatupend kufanyaz narais anataka tufanye kazi
Tunaisha zaidi sisi wenye kazi za kuvuja jashoKazi zenyewe haziishi lakini ujue, sisi ndio tunaisha.
Kazi zenyewe haziishi lakini ujue, sisi ndio tunaisha.
Milele nitamkumbuka baba wa taifatunaisha miili lakini roho itabaki milele
Taifa linaangamizwa na viongozi wasio na hurumaMilele nitamkumbuka baba wa taifa
Huruma waitoe wapi, wakat wamesha shibisha familia zaoTaifa linaangamizwa na viongozi wasio na huruma
Huruma waitoe wapi, wakat wamesha shibisha familia zaoTaifa linaangamizwa na viongozi wasio na huruma
Zao la karafuu ni zao kuu ZanzibarHuruma waitoe wapi, wakat wamesha shibisha familia zao
Zanzibar, nao wanataka kujitengaZao la karafuu ni zao kuu Zanzibar
kujitenga!! dingi mtoto mbona mie sijasikia hiloZanzibar, nao wanataka kujitenga