pilika pilika za nini tena mbona kimya kimya hatuambizani!!Jamani chezeni mchezo, mimi bado niko na pilikapilika
Huyo mtoto tutasaidiana ashindwe mwenyewe kuwa na furaha.kesho unipe mimi ninsaidie alafu meifea, jamesComey watafuata kumsaidia kaka zakumi huyo mtoto
Furaha huwa inanipata moyoni ninapowaona watu kwenye huu uzi tunapeana mawili hadi matatuHuyo mtoto tutasaidiana ashindwe mwenyewe kuwa na furaha.
Matatu yale magunia ya mchele niliyowawekea mje mchukue mkipata nafasi.Furaha huwa inanipata moyoni ninapowaona watu kwenye huu uzi tunapeana mawili hadi matatu
Matatu ya Kenya ni sawa na daladala TzFuraha huwa inanipata moyoni ninapowaona watu kwenye huu uzi tunapeana mawili hadi matatu
Tz ni kifupi cha TanzaniaMatatu ya Kenya ni sawa na daladala Tz
Tanzania ilipata Uhuru 1961Tz ni kifupi cha Tanzania
bao kiaje mkuu?!.. umeniacha solemba1961 nilikuwa bado bao
"Solemba" huu wimbo ulikuwa wa OTTU au sikinde?bao kiaje mkuu?!.. umeniacha solemba
"Solemba" huu wimbo ulikuwa wa OTTU au sikinde?
Hulijui dhumuni langu mkuu. Lengo lilikuwa kukutoa ktk hayo mabao kukuepusha na bani si unajua huu ni msimu wa trial and error za banisikinde ngoma ya ukae hii bend ni nzuri. jakitoo bao hulijui
Bani ndo nn?? Jaman kalaleni sa iv usikuHulijui dhumuni langu mkuu. Lengo lilikuwa kukutoa ktk hayo mabao kukuepusha na bani si unajua huu ni msimu wa trial and error za bani
Usiku wa leo ntachelewa sana kulala.Bani ndo nn?? Jaman kalaleni sa iv usiku
Kulala ni afya bora lala mapema uamke mapemaUsiku wa leo ntachelewa sana kulala.
Mapema niende wapi asubui yote hiyoKulala ni afya bora lala mapema uamke mapema
Hiyo nini uliyoishikilia?Mapema niende wapi asubui yote hiyo
Ulioshikilia sio ya kwako mpe mwwnyeweHiyo nini uliyoishikilia?
Mwenyewe umeamua usilale sijui umeahidiwa nini!!Ulioshikilia sio ya kwako mpe mwwnyewe