Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mchezo huu haunogi mkiwa wawili tu mnajibizana, inatakiwa muwe wengi na pawe na fujo za hapa na pale
Pale ndio utaona ladha ya haya mapambano, ukikuta post kadhaa zimekutangulia angalia ya mwisho ndio uanzie hapo kupost japo kuna mwingine pia anapost bila wewe kujua.
Ukifanya hivyo ndio utakuwa makini na kufanya haraka kupost ili kushindana na wengine
 
Wengine au wote hatuwezi kwenda na upepo mmoja, unajua mnapokiwa wengi na story zinakuwa nyingi na tofautitofauti hivyo huwezi kupata flow unayoizungumzia ni ngumu sana Mwifwa
 
Back
Top Bottom