Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Uzi unachanganywa na kituko hadi nimeanza kuona vitukoMzuri vipi wakati kituko anakoroga huu uzi!!
Uzi unachanganywa na kituko hadi nimeanza kuona vitukoMzuri vipi wakati kituko anakoroga huu uzi!!
Hili jukwaa limekushinda kitukoMzuri nani kati ya wote waliopo kwenye jukwaa hili?
Kituko katika ubora wake hasikii kelele zetuHili jukwaa limekushinda kituko
Uzi naukorogaje wakuu?Mzuri vipi wakati kituko anakoroga huu uzi!!
Kelele zetu zinatukera sisi wenyeweKituko katika ubora wake hasikii kelele zetu
Uzi unachanganywa na kituko hadi nimeanza kuona vituko
Mpya utakazoziona angalia ya mwisho ndio uendelezeBituko gani tena mkuu, uzi unakimbia sana huu, ukicomment kidogo unakuta post zaidi ya tano mpya
Uendeleze kwenda wapi?, maana we ukiona ni wa mwisho basi unajikuta kuna watu kadhaa wamepost na unakuwa sio wa mwisho tena, uzi mgumu huuMpya utakazoziona angalia ya mwisho ndio uendeleze
Huu ni rahisi sana, jitahidi uendane na kasi ya uzi utafurahi mwenyeweUendeleze kwenda wapi?, maana we ukiona ni wa mwisho basi unajikuta kuna watu kadhaa wamepost na unakuwa sio wa mwisho tena, uzi mgumu huu
Huu ni rahisi sana, jitahidi uendane na kasi ya uzi utafurahi mwenyewe
Mwenyewe najua huo utaratibu, na shida iliyopo ni kuwa tunachati watu wengi, kama one by one mbona haina shidaHuu ni rahisi sana, jitahidi uendane na kasi ya uzi utafurahi mwenyewe
Shida ni ndogo sana ukiwa chonjo muda wote na kusoma post zote ndio upostMwenyewe najua huo utaratibu, na shida iliyopo ni kuwa tunachati watu wengi, kama one by one mbona haina shida
Shida ni ndogo sana ukiwa chonjo muda wote na kusoma post zote ndio upost
Staarajii kuona mtu anavuruga mchezoupost chochote ila kwa staa
Upost kitu gani sasa? Maana unaemwona wa mwisho sekunde kadhaa anakuwa sio wa mwishoShida ni ndogo sana ukiwa chonjo muda wote na kusoma post zote ndio upost
Mwisho ndio mwanzo wa kupost unachokijuaUpost kitu gani sasa? Maana unaemwona wa mwisho sekunde kadhaa anakuwa sio wa mwisho