Haumfai kwaniniYako ww ishapotea, mwambieni kituko nishampa red card atoke, mchezo haumfai
Lakini nijuavyo hali tunajuliana kunapokucha haya wewe jioni hii kulikoni?
Kulikoni na ukali wote huo, mi ndio nimekuona sasa ndo nataka kujua hali yako, nimeshukuru umemjibu vizuri chuma cha mjerumaniLakini nijuavyo hali tunajuliana kunapokucha haya wewe jioni hii kulikoni?
Salama salimini nani anayemjuaemmyta hajambo kashinda salama
emmyta hajambo kashinda salama
Au Daby, sijamuona hapa muda mrefu huenda yuko naye
Mzuri vipi wakati kituko anakoroga huu uzi!!Salama kituko! Uwe unasoma post hadi mwisho ndio uqoute ili mtiririko uwe mzuri
Mzuri nani kati ya wote waliopo kwenye jukwaa hili?Salama kituko! Uwe unasoma post hadi mwisho ndio uqoute ili mtiririko uwe mzuri