Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Kwanza hauna vigezo vya kukufanya uwe mshindi, huna sifaMshindi bado hajapatikana, nahisi kesho nitatangazwa kupewa tuzo ya uvumilivu kwanza
Kwanza hauna vigezo vya kukufanya uwe mshindi, huna sifaMshindi bado hajapatikana, nahisi kesho nitatangazwa kupewa tuzo ya uvumilivu kwanza
Kwanza hauna vigezo vya kukufanya uwe mshindi, huna sifa
Sifa ninazo, uwezo ninao, nimethubutu nazidi kusonga mbele hadi kielewekeKwanza hauna vigezo vya kukufanya uwe mshindi, huna sifa
Sifa ninazo, uwezo ninao, nimethubutu nazidi kusonga mbele hadi kieleweke
Mara ngapi nawakaribisha kwangu hamtaki jamani wacheni hizo basi mpaka weekend imekwisha.kieleweke mara ngapi
Ngapi zimebakia stookieleweke mara ngapi
kieleweke mara ngapi
Kieleweke vipi wakati wewe ueleweki? Au mi ndio sikuelewi?Sifa ninazo, uwezo ninao, nimethubutu nazidi kusonga mbele hadi kieleweke
Kieleweke vipi wakati wewe ueleweki? Au mi ndio sikuelewi?
Bia ni haramusikuelewi unachosema umeonja bia
Bia gani sasa, Heinekain au safari?sikuelewi unachosema umeonja bia
Bia ni kilevi.sikuelewi unachosema umeonja bia
Bia ni haramu
haramu!!! hapana sidhani kama ni kweliBia ni haramu
Kweli kabisa hiyo haihitaji majadalaharamu!!! hapana sidhani kama ni kweli
haramu!!! hapana sidhani kama ni kweli
Yako ww ishapotea, mwambieni kituko nishampa red card atoke, mchezo haumfaikweli ila inategemea na imani yako