Mmoja mmoja ndio mpangomfano mzuri wa maisha bora kwa kila mtanzania ni ongezeko la pato la mtu mmoja mmoja
Mmoja mmoja ndio mpangomfano mzuri wa maisha bora kwa kila mtanzania ni ongezeko la pato la mtu mmoja mmoja
mpango wangu wa kushiriki katika uzi huu siku ya leo ulikwamishwa na hangover kali sanaMmoja mmoja ndio mpango
Sana sana ulisahau km unahitajika hapampango wangu wa kushiriki katika uzi huu siku ya leo ulikwamishwa na hangover kali sana
hapa siwezi kuacha kuja si unajua panavyo nogaSana sana ulisahau km unahitajika hapa
Pia mimi ni mzimaKiukweli hatujambo, nadhani na ww ni mzima pia
Sana unamaanisha kupita kiasi?Ki ukweli jamiiforums naipenda sana
hapa siwezi kuacha kuja si unajua panavyo noga
Sana sana km huu mchezo huujui utaonekana kituko km jina lakoPanavyonoga kwa sababu mnapanogesha sana
Lako ni lako, Liwe zuri au baya!!Sana sana km huu mchezo huujui utaonekana kituko km jina lako
Lako nimelielewa sna tu, siwezi kushindwa huo mchezo kamweSana sana km huu mchezo huujui utaonekana kituko km jina lako
Kamwe sitaacha kushindana huu mtanange usiokuwa na kikomoLako nimelielewa sna tu, siwezi kushindwa huo mchezo kamwe
Kikomo kipo, maana wa mwisho ndio mshindi na hope mi ndio ntakuwa wa mwishoKamwe sitaacha kushindana huu mtanange usiokuwa na kikomo
Mwisho wake utachoka kushiriki, tuache sisi tutoane jashoKikomo kipo, maana wa mwisho ndio mshindi na hope mi ndio ntakuwa wa mwisho
Mwisho wake utachoka kushiriki, tuache sisi tutoane jasho
Mshindi bado hajapatikana, nahisi kesho nitatangazwa kupewa tuzo ya uvumilivu kwanzaJasho mbona limeshakauka, mi ndio mshindi
Kwanza kabla ya itabidi atafutwe muanzisha uzi huu mpaka aridhikeMshindi bado hajapatikana, nahisi kesho nitatangazwa kupewa tuzo ya uvumilivu kwanza