Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Imesonga mbele sana michuano ya wa Mwisho mshindiNjia iendayo uzimani imesonga
Imesonga mbele sana michuano ya wa Mwisho mshindiNjia iendayo uzimani imesonga
Mshindi atavikwa taji na wengine watashangilia kwa kishindoImesonga mbele sana michuano ya wa Mwisho mshindi
Kishindo kikuu kilirindima pale ilipotokea majibizano baina ya pande mbili zilizopinganaMshindi atavikwa taji na wengine watashangilia kwa kishindo
Pingana pingana za awamu hii ni kichefuchefuKishindo kikuu kilirindima pale ilipotokea majibizano baina ya pande mbili zilizopingana
Kichefuchefu kinamusumbua sana mke wanguPingana pingana za awamu hii ni kichefuchefu
Kichefuchefu ni dalili ya kutapikaPingana pingana za awamu hii ni kichefuchefu
Kutapika mbele za watu, inaleta kinyaaaaKichefuchefu ni dalili ya kutapika
Kinyaa ni pale ninapoona damuKutapika mbele za watu, inaleta kinyaaaa
Majini ya bahari ya Hindi ni maji ya chumvidamu ni nzito kulipo maji
Maji ni UHAIdamu ni nzito kulipo maji
Chumvi ni kiungo mhimu sana katika mboga.Majini ya bahari ya Hindi ni maji ya chumvi
Damu ya hedhi wanasemaga ni hatari sana.UHAI wa mtu uko kwenye damu
Sanaaa, kwa sababu imechanganyikana vitu vingiDamu ya hedhi wanasemaga ni hatari sana.
Sanaaa, kwa sababu imechanganyikana vitu vingi
Nini ambacho hukijui kwenye mchanganyiko wa pilauvingi vilikuwa vimeanguka unajua ni vi nini?
Pilau itnogaje siku ya iddi, yan unaanzanzaje kukosa kwa mfano,,