,,اشوفFunguka حببتئ
Chai tu, nilishawaambia karibuni kwangu leo jumapili, vyote hivyo mtavipata. Nashangaa kimya hamsemi kitu kama mtakuja au vipi!Funguka basi na wewe emmyta! Naona jumapili hii niko mpweke hadi nakosa pesa ya chai
Chai ya wapi hioFunguka basi na wewe emmyta! Naona jumapili hii niko mpweke hadi nakosa pesa ya chai
Vipi hapo umepatia! Napendaga sana watu wakarimu kama emmytaChai tu, nilishawaambia karibuni kwangu leo jumapili, vyote hivyo mtavipata. Nashangaa kimya hamsemi kitu kama mtakuja au vipi!
I see you laughing,,اشوف
![]()
![]()
![]()
![]()
marinda
![]()
![]()
Laughing without amazing anythingI see you laughing
Pamoja na hayo Arabian queen na alibakari mwatutamanisha hicho kiarabu mnachoandika wakati mi sijui pa kukipata. Msiwe hivyo jamaniLaughing without amazing anything![]()
![]()
Kilikuja kwa ndege kithungu, tufuate kanuni za uzi ili tucheze ngoma kwa pamoja
Pamoja sana. Wapendwa nawasalimu w.end anasemajeLaughing without amazing anything![]()
![]()
Kilikuja kwa ndege kithungu, tufuate kanuni za uzi ili tucheze ngoma kwa pamoja
Anasemaje yule mtoto tuliezungumza naye jana. Weekend inakwenda vyema sijui huko kwako mpendwa.Pamoja sana. Wapendwa nawasalimu w.end anasemaje
Mpendwa karibu sana! Habari za kupoteaAnasemaje yule mtoto tuliezungumza naye jana. Weekend inakwenda vyema sijui huko kwako mpendwa.
Kupotea njia ndio kujua njiaMpendwa karibu sana! Habari za kupotea
Njia iendayo uzimani imesongaKupotea njia ndio kujua njia