Melvin 16
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 483
- 500
Fa fa fa fa ndio habari ya mjini.Bashite ni fa fa fa fa
Fa fa fa fa ndio habari ya mjini.Bashite ni fa fa fa fa
Mjini ni shuleFa fa fa fa ndio habari ya mjini.
Shule za siku hizi zimejaa watu wa kolomije.Mjini ni shule
Shule za mjini ni usumbufu kwa wanafunziMjini ni shule
Wanafunzi wanapata taabu sana kwenye daladalaShule za mjini ni usumbufu kwa wanafunzi
Daladala ni usafiri wenye mfumo wa hovyoWanafunzi wanapata taabu sana kwenye daladala
Hovyo hovyo daladala iliendeshwa na kila mmoja alikumbuka kuhusu Luck VisentDaladala ni usafiri wenye mfumo wa hovyo
Visent Arusha majonzi yake yatachukua muda kufutika kichwaniHovyo hovyo daladala iliendeshwa na kila mmoja alikumbuka kuhusu Luck Visent
Kichwani kwangu kuna mambo mengiVisent Arusha majonzi yake yatachukua muda kufutika kichwani
Mengi na Bakhresa ni matajiri wastaarabKichwani kwangu kuna mambo mengi
Pwani yote ya A.mashariki wanazungumza Kiswahiliwastaarabu wengi walizaliwa pwani
Kiswahili kina anza kupotea taratibu kila kona ni ung'eng'e tu.Pwani yote ya A.mashariki wanazungumza Kiswahili
Tuanze na ww,unafahamu lugha ngap mpk sasaKiswahili kina anza kupotea taratibu kila kona ni ung'eng'e tu.
Sasa nazijua mbili tu ila nina mpango nijifunze nyingine angalau zifikie tatu au nne.Tuanze na ww,unafahamu lugha ngap mpk sasa
Nne hongera,mm najua tano mpk sasaSasa nazijua mbili tu ila nina mpango nijifunze nyingine angalau zifikie tatu au nne.
Sasa sina budi uwe mwalimu wangu kwa kweli.Nne hongera,mm najua tano mpk sasa
Weye ulikua wapi?mm mzima sjui ww mpendwaSasa sina budi uwe mwalimu wangu kwa kweli.
Mzima weye?
Mpendwa mimi nipo tu naimalizia weekend. Karibu huku kwangu siku moja uje kusalimiaWeye ulikua wapi?mm mzima sjui ww mpendwa

Kusalimia insha Allah ntakuja panapouzima,unaishi wapi kwaniMpendwa mimi nipo tu naimalizia weekend. Karibu huku kwangu siku moja uje kusalimia![]()
![]()