Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Bashite hahaha acha izoAmina usijali. Nipo kwa Bashite
Bashite hahaha acha izoAmina usijali. Nipo kwa Bashite
Bashite 65 ni kodi namba ya tigoAmina usijali. Nipo kwa Bashite
Bashite! Ipo sehemu gani hapa Tanzania?Amina usijali. Nipo kwa Bashite
Tanzania ni nchi ya kipekee na matukio yake ni ya kipekeeBashite! Ipo sehemu gani hapa Tanzania?
Kipekee ndio maana hata watu wa koromije wanaforge vyeti.Tanzania ni nchi ya kipekee na matukio yake ni ya kipekee
Wapi twende sisi wananchi wazalendo wenye vyeti safi.Vyeti vyeti kila siku, maendeleo yatoke wapi
Safi sana kwa kuuliza swali la msingi. Hamna pa kuenda zaidi ya kusubiri matangazo ya ajira mpyaWapi twende sisi wananchi wazalendo wenye vyeti safi.
Mpya ajira hakuna safari hii wote tunaisoma numberSafi sana kwa kuuliza swali la msingi. Hamna pa kuenda zaidi ya kusubiri matangazo ya ajira mpya
Computer hata sina mie natumia tu kasimu kangu ka tochiSasa si inategemea unatumia simu au computer
Ka tochi? KweliComputer hata sina mie natumia tu kasimu kangu ka tochi
Kweli. Najua we ni mgumu kuamini ila ndio ukweli.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ka tochi? Kweli
Ukweli wangu ni kwambaKweli. Najua we ni mgumu kuamini ila ndio ukweli.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] usikimbie kuja hapa ujibu maswali yakoKweli. Najua we ni mgumu kuamini ila ndio ukweli.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Yako wapi hayo maswali niulize nimesharudi[emoji125] [emoji125] [emoji125] usikimbie kuja hapa ujibu maswali yako
Nimesharudi ndugu zangu![emoji2] [emoji2] [emoji2] Yako wapi hayo maswali niulize nimesharudi