dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Mkuu wa dola ana madaraka mengi sana,Jana na leo mkuu
Mkuu wa dola ana madaraka mengi sana,Jana na leo mkuu
Mkuu wa dola ana madaraka mengi sana,Jana na leo mkuu
Sana ni kielezi?Mkuu wa dola ana madaraka mengi sana,
Kielezi ni neno hutumika kuonyesha jins tendo linavofanyikaSana ni kielezi?
Linavyofanyika hili kongamano mm sijapendaKielezi ni neno hutumika kuonyesha jins tendo linavofanyika
Sijapenda kwa kweli bhasi tu hamna namna wacha niendeLinavyofanyika hili kongamano mm sijapenda
Lucifer si mkuu kwasababu si member wa Jamii ForumMkuu ndio nini?mkuu si yule lucifer
Sana jembe languMkuu wa dola ana madaraka mengi sana,
Langu refu sana kuliko lakoSana jembe langu
Gani kivipi?? Linafikia km la mfalme wa nchi ya kusadikikalako lina urefu gani
Kusadikika ndio nini?Gani kivipi?? Linafikia km la mfalme wa nchi ya kusadikika
Nini usichokijua kuhusu nchi ya kusadikika. Hii ni riwaya inayoelezea maisha ya nchi zetu za kiafrika. Watawala wanajilimbikizia mali bila ya kujali wananchiKusadikika ndio nini?
Wananchi wa Tanzania siku zote ni wapenda amaniNini usichokijua kuhusu nchi ya kusadikika. Hii ni riwaya inayoelezea maisha ya nchi zetu za kiafrika. Watawala wanajilimbikizia mali bila ya kujali wananchi
Simo najua ndio maana nimekaa kimya.Amani iliyopo imejificha chini ya mwamvuli wa uwoga, wenye mshikio wa mimi simo
Ujio wangu utakuwa mpya kweli na si utaniKimya kingi kina kishindo, ngoja tusubiri wako mpya ujio
Utani wangu unauweza emmy!Ujio wangu utakuwa mpya kweli na si utani