Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nyie mmekosa kazi sasa hpo wamwisho anapata nini, badala ya kujadili mambo ya muhimu mnaanzisha michezo yakitoto . Hiyo michezo ya kitoto fanyieni fb afu admin unaangalia tu daaah jf imevamiwa na kindagateni
 
Kindagateni Ni wewe usiyejitambua uliyekuja bila kuitwa na kuleta povu lako la Omo.Hakika maisha yanakuchanganya sana hayo mambo ya maana jadili wewe na familia yako.achana na sisi.
 
Nyie mmekosa kazi sasa hpo wamwisho anapata nini, badala ya kujadili mambo ya muhimu mnaanzisha michezo yakitoto . Hiyo michezo ya kitoto fanyieni fb afu admin unaangalia tu daaah jf imevamiwa na kindagateni
Wapo wenye busara zaidi yako wamenyamaza na wanafuatilia mambo wanayoona yana manufaa kwao, jambo kama unaona halikusaidii chochote unalihangaikia la nini?
Hapa kuna uhuru sio kama kwingine unakofikiria ndio maana na wewe upo hapa.
Ukishindwa kuvumilia ni bora ukafuatilie mitandao mingine.
Acha watu wafanye wanayoona ni bora kwao.

Bila shaka una element za Mwakyembe!!!!
Shame on you!!
 
Mguuni kwake amefungwa hadi anashindwa kufikiria, huenda katumwa na wale wale wanaokula rambi rambi
Rambi rambi zinaliwa na wanaokula ni wenye vitambi
Mpaka wafiwa wanachukiwa kama post za mkuu kimambi
 
Back
Top Bottom