Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
emmy anaweza utani ila usipitilize mana hakawii kulia.Utani wangu unauweza emmy!
emmy anaweza utani ila usipitilize mana hakawii kulia.Utani wangu unauweza emmy!
Kulia tena kwani nitakuchapa mimi. Wala sikuchapi ng'ooemmy anaweza utani ila usipitilize mana hakawii kulia.
Sikuchapi ng'oo. Unadhani kulia mpaka kuchapwa basi mana unaweza ukapewa tani hilo likakugusa mwisho wa siku ukashindwa kubishana kwa sababu ulichoambiwa kina ukweli.Kulia tena kwani nitakuchapa mimi. Wala sikuchapi ng'oo
Ukweli mimi sikufanyii hivyo maana ukilia nitakufuta choziSikuchapi ng'oo. Unadhani kulia mpaka kuchapwa basi mana unaweza ukapewa tani hilo likakugusa mwisho wa siku ukashindwa kubishana kwa sababu ulichoambiwa kina ukweli.
Chozi lake lina thamaniUkweli mimi sikufanyii hivyo maana ukilia nitakufuta chozi
Thamani yake ni kubwa mno kuliko chochote.Chozi lake lina thamani
Chochote nilichonacho ni cha kwako siku tukiacha ubinafsiThamani yake ni kubwa mno kuliko chochote.
Chochote unachokitaka nenda kwa Bashite utakipataThamani yake ni kubwa mno kuliko chochote.
Lolote lisemwalo huwa lipo na kama halipo basi liko njiani linakujaChochote kinaweza kufanywa na mkolomije, pamoja na babaye na hakuna wa kuweza kuwafanya lolote.
linakuja tena kwa kasi kama gharikaLolote lisemwalo huwa lipo na kama halipo basi liko njiani linakuja
Gharika gani wewe jakitoo unadanganyalinakuja tena kwa kasi kama gharika
Gharika imeleta balaa sana kipindi cha mvualinakuja tena kwa kasi kama gharika
Mvua bora imeisha mana ilikuwa inaleta uvivu wa kuamka nyakati za kwenda kaziniGharika imeleta balaa sana kipindi cha mvua
Mvua bado zinanyesha Tanzania???Gharika imeleta balaa sana kipindi cha mvua
Kenya kwangu ni nyumbaniTanzania??? Labda Kenya
Kenya jirani zetu?Tanzania??? Labda Kenya
Zetu dua tu zinatoshaKenya jirani zetu?