Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Zinatosha na chenji inabakiZetu dua tu zinatosha
Zinatosha na chenji inabakiZetu dua tu zinatosha
Inabaki ile chenchi niliyokwambiaZinatosha na chenji inabaki
Niliyokuambia nimenunulia moja baridi moja ya motoInabaki ile chenchi niliyokwambia
Niliyokwambia yaweke akilini sana, yatasaidia keshoyoInabaki ile chenchi niliyokwambia
Keshoyo au kesho? Sijajua unawahi wapi.Niliyokwambia yaweke akilini sana, yatasaidia keshoyo
Wapi panapouzwa yale mashuka mazuriKeshoyo au kesho? Sijajua unawahi wapi.
Kwani hupajui?Kolomije ndo wapi kwani
Wapi tena huko n'goshi!!! Tiambieni na sisi tijue, au ndo sheh'emu flani huko Tabo(r)a wa(l)ipohongana vyeti??!!?Hupajui ww ndo mana waniulizakwani ndio wapi
Vinakuhusu na wewe pia, maana nmepigwa mimi chini nawe yangu huduma unaikosa!Vyeti feki vinakuhusu
Nilikutunuku nami huduma bora, tena yenye uhakika, ila nimekubali kwa shingo upande kukosa heshima yako.Unaikosa ile heshima ambayo nilikutunuku
Yako wapi magari yote ya farao?Ziko wapi mali zake zote?Amekufa hajaenda hata na kitu kimoja.Hakika tuchunge ndimi zetu tusijione tumefika dunia tunapita.Nilikutunuku nami huduma bora, tena yenye uhakika, ila nimekubali kwa shingo upande kukosa heshima yako.
Tunapita hakika, hatutokaa hapa milele. Vyeo, nyadhifa, pesa, bunduki+risasi, mikanda yenye bendera za nchi, magari, viburi, jeuri, n.k tutaviacha hapa hapa duniani.Yako wapi magari yote ya farao?Ziko wapi mali zake zote?Amekufa hajaenda hata na kitu kimoja.Hakika tuchunge ndimi zetu tusijione tumefika dunia tunapita.
Duniani kuna mambo mengi kila kukicha kunagunduliwa jipyaTunapita hakika, hatutokaa hapa milele. Vyeo, nyadhifa, pesa, bunduki+risasi, mikanda yenye bendera za nchi, magari, viburi, jeuri, n.k tutaviacha hapa hapa duniani.
Jipya la leo lililonishangaza ni kijana mdogo kuwaambia wakubwa wake angewachapa bakora.Duniani kuna mambo mengi kila kukicha kunagunduliwa jipya
Bakora! Mbona kijana amewakosea wakubwa Heshima.Jipya la leo lililonishangaza ni kijana mdogo kuwaambia wakubwa wake angewachapa bakora.