chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Kusikia kwenyewe saa nyingine nako kuna faida na hasara
hasara isikie kwa mwenzako inauuma sana
Kusikia kwenyewe saa nyingine nako kuna faida na hasara
sana sana ukiwa hujaitegemea hiyo hasara inaumahasara isikie kwa mwenzako inauuma sana
Inauma kama mchaga kupoteza miasana sana ukiwa hujaitegemea hiyo hasara inauma
Inauma sana hasa pale unapokosa kitu ulicho tegemea...!!sana sana ukiwa hujaitegemea hiyo hasara inauma
tegemea kitu chochote kutoka kwa mtu kiwe kibaya au kizuriInauma sana hasa pale unapokosa kitu ulicho tegemea...!!
Kizur mara nying ndio tunachowaza na kutegemea, kuliko yaliyo hasi au mabayategemea kitu chochote kutoka kwa mtu kiwe kibaya au kizuri
Kizuri ni kile unachogawana na nduguyotegemea kitu chochote kutoka kwa mtu kiwe kibaya au kizuri
Nduguyo nilimuona sehemu katika pita pita zanguKizuri ni kile unachogawana na nduguyo
Jasho ni mojawapo ya uchafu unaotoka mwilini kupitia vitundu vya jasho vilivyopo kwenye ngozi ya mwiliZangu mali ni halali iwapo nitazitafuta kwa langu jasho
Mwili wake unakataa kila kipodozi.Jasho ni mojawapo ya uchafu unaotoka mwilini kupitia vitundu vya jasho vilivyopo kwenye ngozi ya mwili
Kipodozi gani ambacho kitanifanya niwe na harufu nzuri?Mwili wake unakataa kila kipodozi.
Harufu nzuri ya asuminiKipodozi gani ambacho kitanifanya niwe na harufu nzuri?
Nzuri zile deodorant ulizoulizia bora ungezinunua zoteKipodozi gani ambacho kitanifanya niwe na harufu nzuri?
Zote zitamgharimu pesa nyingi au bei yake sio kama zile za chibu.Nzuri zile deodorant ulizoulizia bora ungezinunua zote
Zote kuntu si hua hatunaga kazi mbovuNzuri zile deodorant ulizoulizia bora ungezinunua zote
Mbovu labda zile kazi zenu za mwaka janaZote kuntu si hua hatunaga kazi mbovu
Jana na leo mkuuMbovu labda zile kazi zenu za mwaka jana