Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Wote tupo salama, Daby ulipotelea wapi?Jf pazurii saana nawasalimu wote.
Wote tupo salama, Daby ulipotelea wapi?Jf pazurii saana nawasalimu wote.
Masai is international language. Mzima mie emmy eti ni kama nimekumiss vileWote tulio jf muda huu hatujambo. Mzima wewe kaka masai
Wote tulio jf muda huu hatujambo. Mzima wewe kaka masai
Wapi? Nitapotea wapi zaidi ya hii biashara yangu ya kuuza kufuli za akina mama mitaani.Wote tupo salama, Daby ulipotelea wapi?
Mitaani hali ya Maisha ni teteWapi? Nitapotea wapi zaidi ya hii biashara yangu ya kuuza kufuli za akina mama mitaani.
Vile najua ni kweli umenimiss kama wewe nilivyokumissMasai is international language. Mzima mie emmy eti ni kama nimekumiss vile
. Karibu tena.Mitaani hapakaliki ukitaka kutoa rambirambi unakamatwaWapi? Nitapotea wapi zaidi ya hii biashara yangu ya kuuza kufuli za akina mama mitaani.
Tete tena saana. Raven mungu anipe nini?Mitaani hali ya Maisha ni tete
Mitaani hapakaliki ukitaka kutoa rambirambi unakamatwa
Tena nimekaribia kwa bashasha ila tuheshimu sheria za mchezoVile najua ni kweli umenimiss kama wewe nilivyokumiss. Karibu tena.
Nini? Labda gunia la ChawaTete tena saana. Raven mungu anipe nini?
Chawa tena? Walai kumbe haunipendi eeeh bora mamdogoNini? Labda gunia la Chawa
Ma mdogo nimemmiss sijui umemuona?Chawa tena? Walai kumbe haunipendi eeeh bora mamdogo
Umemwona wewe? ndiyo kwanza nimeingia niliambiwa anaumwa wacha nimcheki.Ma mdogo nimemmiss sijui umemuona?
Mchezo unaponoga watu wanaingia kwa kasi ya ajabu huku wakisahau kanuniTena nimekaribia kwa bashasha ila tuheshimu sheria za mchezo
Nimcheki Kule JLW labda atakuwepoUmemwona wewe? ndiyo kwanza nimeingia niliambiwa anaumwa wacha nimcheki.
Atakuwepo leo jioniNimcheki Kule JLW labda atakuwepo
Atakuwepo na mimi nafikiria hivyoNimcheki Kule JLW labda atakuwepo
Hivyo ndivyo ilivyoAtakuwepo na mimi nafikira hivyo
Ilivyo kawaida yetu hapa ni kushindana bila mafanikioHivyo ndivyo ilivyo
Mafanikio yapo mbele usikate tamaaIlivyo kawaida yetu hapa ni kushindana bila mafanikio