Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
2 machi 2017Hii sasa 2 machi
2 machi 2017Hii sasa 2 machi
2017 kwa maneno elfu mbili na kumi na saba2 machi 2017
Saba + saba ni kumi na nne2017 kwa maneno elfu mbili na kumi na saba
Kumi na nne nafuu mie nilikua kifungoni kwa SAA 24 lol hapana chezea banSaba + saba ni kumi na nne
Kumi na nne nafuu mie nilikua kifungoni kwa SAA 24 lol hapana chezea ban
Mwendokasi bila break utajiumizaban sasa hivi zinatembea kama gari za mwendokasi
Utajiumiza ukishindana na mwanamkeMwendokasi bila break utajiumiza
Mwanamke ni kama mirinda nyeusiUtajiumiza ukishindana na mwanamke
Mirinda nyeusi ndo kinywaj chnguMwanamke ni kama mirinda nyeusi
Mirinda nyeusi ndo kinywaj chngu
Ni ngumu,kama bashite kuonyesha vyetichangu doa kukuta anabikra ni ngumu
Vyeti vyenu ni feki, ndio maana hampati ushindiNi ngumu,kama bashite kuonyesha vyeti
Ushindi bila ushindan huwez kuwa mshindi, labda uwe na ngekewaVyeti vyenu ni feki, ndio maana hampati ushindi
Ngekewa siku hizi inapatikana wapi sababu naona imeadimikaUshindi bila ushindan huwez kuwa mshindi, labda uwe na ngekewa
kutengeneza cheti feki ni sawa na kujichongea jeneza kabla ya muda wako.Imeadimika kwasababu hamna anaetaka kutengeneza
Baraka za muumba zimetufanya tuamke salama. Wazima wote?haraka haraka haina baraka
Wote wazima,sijui ww mpendwa,ngojea wakujibu wenyewe nsiwajibie hahaha wengine hawajaamkaBaraka za muumba zimetufanya tuamke salama. Wazima wote?