Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,107
- 122,495
Hawajaamka wale wasiopenda kufanya mazoeziWote wazima,sijui ww mpendwa,ngojea wakujibu wenyewe nsiwajibie hahaha wengine hawajaamka
Hawajaamka wale wasiopenda kufanya mazoeziWote wazima,sijui ww mpendwa,ngojea wakujibu wenyewe nsiwajibie hahaha wengine hawajaamka
Mazoez ni muhim,ila watu hawafahamuHawajaamka wale wasiopenda kufanya mazoezi
Hawafahamu ndio mana bado wamelala.Mazoez ni muhim,ila watu hawafahamu
Huko ulipo kumbe kumekucha,huku kwetu kwema tu ,twamshukuru molaHawafahamu ndio mana bado wamelala.
Vp lakini my kwema huko ulipo?
Mola tujalie na utupe nguvu na uzima kwa ijumaa ya leo.Huko ulipo kumbe kumekucha,huku kwetu kwema tu ,twamshukuru mola
Leo ni siku njema kwa kila mwanadamu
Simu ni nzuri ila saa nyingine sitamani kuwa nayo.mwanadamu amemsahau Mungu asubui badala asali anashika kwanza simu
Kuwa nayo mm pia sitamani,maana mda mwngn hua inapoteza mda bila kujijua,ndo maana hata mimi nmejiekea mda maalum wa kukaa na simuSimu ni nzuri ila saa nyingine sitamani kuwa nayo.
Simu hizi acha tu kwa kweli. Ila bora umefanya maamuzi hayo itabidi nami nianze kuiga kutoka kwako.Kuwa nayo mm pia sitamani,maana mda mwngn hua inapoteza mda bila kujijua,ndo maana hata mimi nmejiekea mda maalum wa kukaa na simu
Simu hizi acha tu kwa kweli. Ila bora umefanya maamuzi hayo itabidi nami nianze kuiga kutoka kwako.
Simu ni chombo kikuu cha mawasiliano enzi hiz!!kwako unanafuu me nimeshindwa kabsaa kujinyima simu
Wetu Muumba ni mwingi wa huruma ametuamsha salama kwa ajili ya kuendelea kutafuta rizikiSimu ni chombo kikuu cha mawasiliano enzi hiz!!
Habari zenu wapendwa wa uzi huu, ni matumaini yangu mumeamka salama salimini kwa mapenzi yake muumba wetu.
Riziki ipo mikononi mwake, hatuna budi kutumia njia halali ili kuweza kuipata hiyo riziki isiyokuwa na upendeleoWetu Muumba ni mwingi wa huruma ametuamsha salama kwa ajili ya kuendelea kutafuta riziki
Upendeleo unaoendelea kwa sasa ipo siku utaleta madharaRiziki ipo mikononi mwake, hatuna budi kutumia njia halali ili kuweza kuipata hiyo riziki isiyokuwa na upendeleo
Utaleta madhara tena makubwa mnoUpendeleo unaoendelea kwa sasa ipo siku utaleta madhara
Mno tena ya ajabu ambayo hayajawahi kutokeaUtaleta madhara tena makubwa mno
Kutokea kwenye ile picha hata sijapenda.Mno tena ya ajabu ambayo hayajawahi kutokea