mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Sijapenda kukaa kimya nami nawasalimia,kumekucha salama kwa uwezo wake muumba wa duniaKutokea kwenye ile picha hata sijapenda.
Sijapenda kukaa kimya nami nawasalimia,kumekucha salama kwa uwezo wake muumba wa duniaKutokea kwenye ile picha hata sijapenda.
Kutokea kwenye ile picha hata sijapenda.
Umekumbatiwa sana na nani tenasijapenda ata mimi ulikuwa umekombatiwa sana
Tena bora imeniwahi mana nailita kuuliza hivyo hivyoUmekumbatiwa sana na nani tena

Hivyohivyo tulivouliza itabidi atujibu tu ilo swali kwa kina ili tujuweTena bora imeniwahi mana nailita kuuliza hivyo hivyo![]()
![]()
Tena bora imeniwahi mana nailita kuuliza hivyo hivyo![]()
![]()
Tena jamaa limeshibaUmekumbatiwa sana na nani tena
Limeshiba lile fenesi. Njooni jamani tule mafenesi na uji mmeshawahi kula au hamjawahi?Tena jamaa limeshiba
Jamaa gani kwanilimeshiba chakula au ana mwili mkubwa? emmyta unammudu huyoo jamaa
Jamaa hana mwili mkubwa sana bwana.limeshiba chakula au ana mwili mkubwa? emmyta unammudu huyoo jamaa
Jamaa mwenyewe amelewa madalaka ya kulevya
Mahaba niuwe, nipondeponde km nyanyakulevya kwenye madaraka hakuna tofaut na kulevya kwenye mahaba
Mahaba niue ni msemo maarufu hapa Tanzania.kulevya kwenye madaraka hakuna tofaut na kulevya kwenye mahaba
Tanzania ya viwandaMahaba niue ni msemo maarufu hapa Tanzania.
Viwanda vya bashiteTanzania ya viwanda
Bashite yule wa koromije ama mwingineViwanda vya bashite
Mwngn feki ,uyouyo unaemsema asaiv ndo niliemkusudiaBashite yule wa koromije ama mwingine
Mwngn feki ,uyouyo unaemsema asaiv ndo niliemkusudia