mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Sikuoni machoni lakini moyoni upo umeja tele kama fungu la mcheleWote wazima, umejificha huku nakutafuta sikuoni?
Sikuoni machoni lakini moyoni upo umeja tele kama fungu la mcheleWote wazima, umejificha huku nakutafuta sikuoni?
Wewe usijifungie toka ukanyooshe miguu
Miguu yangu haijazowea mwendo. Ila nitajitahidi kutoka ninyooshe miguu mana naweza kuta mji umebadilika.Wewe usijifungie toka ukanyooshe miguu
Umebadilika sana siku hizi kulikoni?Miguu yangu haijazowea mwendo. Ila nitajitahidi kutoka ninyooshe miguu mana naweza kuta mji umebadilika.
Mazoez is my favourate hobby.napenda sanamiguu inauuma jana nilikuwa nafanya mazoezi
Mazoez is my favourate hobby.napenda sana
Kuku choma na mida hii hapo kinondon ukapiga na ugal dona duuuh balaaasana? zaidi ya kuku choma?
Balaaa ni pale unapokula nauli halafu ukaamua kutembea kwa miguu hadi kwetuKuku choma na mida hii hapo kinondon ukapiga na ugal dona duuuh balaaa
Kwetu huku kuna matunda ya kumwaga karibuni woteBalaaa ni pale unapokula nauli halafu ukaamua kutembea kwa miguu hadi kwetu

Kwetu huku kuna matunda ya kumwaga karibuni wote![]()
![]()
![]()
Adam na eva hawakula haya bwanawote tutapata usikute ni yale matunda alikula adam na eva
Adam na eva hawakula haya bwana
Aibu sana maana unatoka harusin kuanza fungate halaf unakuta yupo siku zake,,halaf mbaya zaid siku tano mfululizobwana na bibi harusi walilewa kilichotokea ukumbini ilikuwa aibu
Aibu sana maana unatoka harusin kuanza fungate halaf unakuta yupo siku zake,,halaf mbaya zaid siku tano mfululizo
Nini mnachojadili hapa nyie emmyta, xavi bero na chuma cha mjerumani, maana siwaelewi abadani!mfululizo wa period ukiisha hany moon imeisha ila wahenga wanasema kuku wako manati ya nini
Abadani hatuwaelewi wanatoka nje ya mstari wa waungwanaNini mnachojadili hapa nyie emmyta, xavi bero na chuma cha mjerumani, maana siwaelewi abadani!
Abadani hatuwaelewi wanatoka nje ya mstari wa waungwana
Hanymoon,shahri l3asal,hmmm ya nani tenawaungwana tupo hapa tunajadili kidogo mambo ya hany moon