Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kituko pale unapotoa maamuzi mabaya ambayo baadaye yanakuwa simanzi kwa wengine
Wengine tulishajua kuwa tutaumizwa na kujirudia kwa manahodha hawa hawa kuongoza chombo chetu, ambao tangu miaka 50+ iliyopita wanajinufaisha hao wenyewe.

Ila zaidi tumeumizwa na umelo wa hadi kutafuna rambirambi za wafiliwa.
 
Wafiliwa hawajaambulia msaada kadiri ya michango ilivyopatikana kufa kufaana watu wanaomba majanga yaendelee kutokea
 
Back
Top Bottom