Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

nini maana ya kutumbua majipu madogo madogo alaf kubwa kama bashite waliache
Waliache tu kama ni jipu hilo likifika mda wake litatumbuka lenyewe na nadhani limeanza kuiva kama ntakua sijakosea
 
Sijakosea kwa kutamka ukweli kwa nilichokiona
Nilichokiona ni hakuna uadui kati ya Marekani na Urusi basi tu tunazugwa ili kutimiza wanayoyataka na mpaka tukija kushtuka tumeshachelewa nadhani wenye macho kama yangu watakua wamenielewa
 
Back
Top Bottom