chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Karibuni huku jamani chuma cha mjerumani katukaribisha. Hatujambo huku sijui huko.
huko kuna kajua kama huku?
Karibuni huku jamani chuma cha mjerumani katukaribisha. Hatujambo huku sijui huko.
Huku kajua kapo piahuko kuna kajua kama huku?
Huku vipi,haya endeleeni mkitimia niiteni
Nitawaitikia tena kwa nguvu zote. Msiache tu kuniita jamani?niiteni nami nitawaitikia
jamani emmyta hata kuniita watu wameanza kuchezaNitawaitikia tena kwa nguvu zote. Msiache tu kuniita jamani?
Wameanza kucheza mwaya. Ila nisamehe wangu nilijua bado umelala.jamani emmyta hata kuniita watu wameanza kucheza
Wameanza kucheza mwaya. Ila nisamehe wangu nilijua bado umelala.
Njaa itakufanya ushindwe kugegedaumelala mwenyewe? me nimechoka kulala mwenyewe leo ntajaribu kulala na njaa
Njaa itakufanya ushindwe kugegeda
Nikuchoshana kweli na mwisho wa siku hata hawaowani kila mtu anashika hamsini zake .kugegeda kabla ya ndoa nikuchoshana
Zake zinavutia kuzishika katika kipindi cha kugegedaNikuchoshana kweli na mwisho wa siku hata hawaowani kila mtu anashika hamsini zake .
Lol hadi mm nemchekaKugegeda tena. Kwani we Mto Ngono huna story nyingine khaa.
Kila ukizunguka huliachi neno kugegeda lol![]()
![]()
![]()
![]()

itakua ndo kipaji chake hiko usimlaumuUsimlaumu kweli. Hata nami nimehisi hivyo kasahau huu ni muda wa kazi.Lol hadi mm nemchekaitakua ndo kipaji chake hiko usimlaumu
Lol hadi mm nemchekaitakua ndo kipaji chake hiko usimlaumu
Kazi bado inaendelea huku.Usimlaumu kweli. Hata nami nimehisi hivyo kasahau huu ni muda wa kazi.
Peke yangu siwezi kwenda mpaka na nyie mnisindikizeKazi bado inaendelea huku.
Jamani leo mnanichekesha na comment zenu, mwenzenu nipo kazini lakini nimejikuta nacheka peke yangu.
Mnisindikize nisije nikatekwe na BashitePeke yangu siwezi kwenda mpaka na nyie mnisindikize
Mnisindikize nisije nikatekwe na Bashite