Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Mubashara kabisaa,nilikua naona kama ndio nisha rip yaani.Kweli Arabian queen umekula ban!!
Nilikuona kwenye uzi fulani mubashara
Mubashara kabisaa,nilikua naona kama ndio nisha rip yaani.Kweli Arabian queen umekula ban!!
Nilikuona kwenye uzi fulani mubashara
Yaani tulikumiss sana mimi, emmyta, jakitooMubashara kabisaa,nilikua naona kama ndio nisha rip yaani.
Jakitoo yumo nae ktk mashindano,thatsit pia,hahah yani wacha nitulie tu umuumu,kule apanifai pananitaftia ban ya burebureYaani tulikumiss sana mimi, emmyta, jakitoo

,yani nmewamiss ile sana sana sana woteWote ambao hatutaki kula ban tupo hapa tunaburudika na mechi isiyokuwa na mapumzikoJakitoo yumo nae ktk mashindano,thatsit pia,hahah yani wacha nitulie tu umuumu,kule apanifai pananitaftia ban ya burebure,yani nmewamiss ile sana sana sana wote
Wote tulikuwa tunajiuliza kulikoni Arabian queen katukimbia hata kutuambia tumfuate?Jakitoo yumo nae ktk mashindano,thatsit pia,hahah yani wacha nitulie tu umuumu,kule apanifai pananitaftia ban ya burebure,yani nmewamiss ile sana sana sana wote
Tumfuate hukohuko aliko aiwezekani atuache na majonzi ya kifungoWote tulikuwa tunajiuliza kulikoni Arabian queen katukimbia hata kutuambia tumfuate?
Kifungo cha shati langu kimekatikaTumfuate hukohuko aliko aiwezekani atuache na majonzi ya kifungo
Kimekatika liniKifungo cha shati langu kimekatika
Lini uliniona kule ulipokuwa wewe mchana?Kimekatika lini
Lini uliniona kule ulipokuwa wewe mchana?
Mtu niliyemuona mchana maeneo ya mjini ndio alikuwa wewe?mchana ndo mda mzuri wakukutana na mtu
Nzuri sana hii movie ninayoangalia... hamlali?wewe ndo ulikuwa unanunua suboffer? inaelekea leo unakula tu mziki chunga usikeshe siku nyingine chukua homu thieta ni nzuri
Nzuri sana hii movie ninayoangalia... hamlali?
Nzuri sana ya kutambia nayo uswahiliniwewe ndo ulikuwa unanunua suboffer? inaelekea leo unakula tu mziki chunga usikeshe siku nyingine chukua homu thieta ni nzuri
Nzuri sana ya kutambia nayo uswahilini
umekula nini leo mchanauswahilini napaogopa majirani wanajua umeamka saa ngapi umekula nini
Mchana palikuwa shwari sana pande hizi huku, usisahau kulike ili nitapate notification nijue mchezo unavyoendeleaumekula nini leo mchana
Mchana palikuwa shwari sana pande hizi huku, usisahau kulike ili nitapate notification nijue mchezo unavyoendelea
Wahusika ni mimi wewe na wengineo,katika jukwaa hiliUnavyoendelea mchezo, naanza kupata mashaka.
Umeingiliwa mchezo, na wasiojua sheria.
wapendao ushindi wa dezo, kila kitu wakiuka.
Tukumbushane vigezo, sisi wote wahusika.