chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Kazi inayo niweka mjini ni hiyo hapo kwenye profile yangu
yangu no siri asee
Kazi inayo niweka mjini ni hiyo hapo kwenye profile yangu
Asee thread ndefu balaayangu no siri asee
Asee thread ndefu balaa
Nani kasema kuna wamwisho mana kila sentensi inaendelezeka. Labda hii hapa.balaa kidogo sasa uyoo wa mwisho sijui ni nani
Hapa hakuna wa mwisho, ukitua na mwenzio katua
Panga boy huwa ni jina la utani la yale mafeni ya juu ama mi ndio sijui.katua kama bombadia aka panga boy
Panga boy huwa ni jina la utani la yale mafeni ya juu ama mi ndio sijui.
Bar nzuri hapa tanzania iko wapi
kilimanjaro ya baridii ikinisogeza kumaliza jumatanowap wapsi hiyoo bar iko kilmanjaro
Jumatano ya leo nzuri. Wacha wee hata karibu?kilimanjaro ya baridii ikinisogeza kumaliza jumatano
Jumatano ya leo nzuri. Wacha wee hata karibu?
karibu shogaa nilikuchek kwako haupo na simu hupokeiJumatano ya leo nzuri. Wacha wee hata karibu?

karibu shogaa nilikuchek kwako haupo na simu hupokei![]()
Nani asiejua kama nmekula ban mubasharahupokei kwa nini unadaiwa na nani
radio mawingu inasikika kweli?Mubashara mapenzi yale ya redio mawingu
Kweli Arabian queen umekula ban!!radio mawingu inasikika kweli?