Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,077
- 122,412
Ligi ukiona inakimbiwa ujue ni ngumu. Ila hapa mabingwa ni sisi watatu.bingwa sijui ni sisi watatu maana kuna muda watu wanakimbia ligi
Ligi ukiona inakimbiwa ujue ni ngumu. Ila hapa mabingwa ni sisi watatu.bingwa sijui ni sisi watatu maana kuna muda watu wanakimbia ligi
sisi watatu tumeukamatilia huu mchezo na kutoka hatutoki ng'ooLigi ukiona inakimbiwa ujue ni ngumu. Ila hapa mabingwa ni sisi watatu.
Machon kama watu, moyon hawana utu iman imetoweka mabaya yameongezekaHatutoki ng'oo hata iweje. Hivi thatsit yuko wapi kwani kitambo sijamtia machoni.
Machon kama watu, moyon hawana utu iman imetoweka mabaya yameongezeka
Mungu hana ubaguzi kwa waja wake na ni mwepesi wa kusamehe hivyo tumrudie tu nadhani atatupokea dua zetu.yameongezeka sana tumrudia Mungu
Mungu hana ubaguzi kwa waja wake na ni mwepesi wa kusamehe hivyo tumrudie tu nadhani atatupokea dua zetu.
Wote kwa imani zetu.zetu jamiiforum au wote
Zetu
Wapagani pia hawakosi ambacho wanakiamini hata kama ni kikombezetu sijakataa lakini imani zinatofautiana vipi kuhusu wapagani
Wapagani ndio watu wa namna gani?zetu sijakataa lakini imani zinatofautiana vipi kuhusu wapagani
Wapagani pia hawakosi ambacho wanakiamini hata kama ni kikombe
Ulienda kuhakiki cheti chako au ilivyofika tar 15 tu ukamwambia mama Ashura umeanza likizokikombe cha babu wa loliondo ulienda?
Ulienda kuhakiki cheti chako au ilivyofika tar 15 tu ukamwambia mama Ashura umeanza likizo
Lini uliwahi kukumbuka chuma cha mjerumani kila siku nakuona unasahau. Hebu jitahidi uwe unakumbuka au ndio kuipenda kazi yako hukolikizo yangu sikumbuki ata ni lini
Lini nitapata utulivu wa moyo wangu?likizo yangu sikumbuki ata ni lini
Lini uliwahi kukumbuka chuma cha mjerumani kila siku nakuona unasahau. Hebu jitahidi uwe unakumbuka au ndio kuipenda kazi yako huko
Kazi inayo niweka mjini ni hiyo hapo kwenye profile yanguyako naikumbuka.: nikifikiria nijipe likizo niache hela bora nipige tu kazi