Ziwaendee wapenzi wote wa huu uziemmyta hili jina ni la kipekee pongez kwa wazaz wako ziwaendee
Mubashara kabisa na mwanzilish wa jamii forumZiwaendee wapenzi wote wa huu uzi
Forum hii ina utaratibu wake, pia huu uzi una utaratibu wake, kulikoni Dingimtoto umesahau kanuni zetu.Mubashara kabisa na mwanzilish wa jamii forum
kanuni zetu hajazisahau itakuwa kapitiwa tuu dingimtotoForum hii ina utaratibu wake, pia huu uzi una utaratibu wake, kulikoni Dingimtoto umesahau kanuni zetu.
Dingimtoto sio kiswahili bali ni maneno ya kihuni mnatakiwa kuacha.kanuni zetu hajazisahau itakuwa kapitiwa tuu dingimtoto
Kuacha katika mapenzi ni jambo la ujasiri.Dingimtoto sio kiswahili bali ni maneno ya kihuni mnatakiwa kuacha.
Moshi wake mtamu sana, bangi yaani we acha tuKuacha nimeacha sigara toka tarehe 24 januari mwaka huu na mpaka sasa sijajaribu hata kusikka moshi wake
Moshi wake mtamu sana, bangi yaani we acha tu
two.... chuma cha mjerumani mambotu ni pronausation ya two.
Yanga yenyewe siku hiz imechalala haina kitu maana muda mwngi walikua wanamtegemea muuza ngadaMambo ili yawe mazuri, huna budi kuishabikia Yanga!![]()
![]()
![]()
Ngada au ganda? Mnaojua kiswahili fasaha, lipi ni sahihi hapo?Yanga yenyewe siku hiz imechalala haina kitu maana muda mwngi walikua wanamtegemea muuza ngada
Hapo kwa maana ya aliyeposti mwanzo ni ngada, akimaanisha bwimbwi/vumbi/sembe/ungaNgada au ganda? Mnaojua kiswahili fasaha, lipi ni sahihi hapo?
Unga kiswaz swaz tunaita NgadaaaHapo kwa maana ya aliyeposti mwanzo ni ngada, akimaanisha bwimbwi/vumbi/sembe/unga
Unganisha upate sentensi yenye kuleta maana nzuriHapo kwa maana ya aliyeposti mwanzo ni ngada, akimaanisha bwimbwi/vumbi/sembe/unga
Nzuri kweli hii ligi ila sioni hata dalili ya kumpata bingwa.Unganisha upate sentensi yenye kuleta maana nzuri
Bingwa ni Yanga tu hakuna namna lazima achukue kombe VPL TanzaniaNzuri kweli hii ligi ila sioni hata dalili ya kumpata bingwa.
bingwa sijui ni sisi watatu maana kuna muda watu wanakimbia ligiNzuri kweli hii ligi ila sioni hata dalili ya kumpata bingwa.