Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,559
Jambo Forum ndio ilizaa Jamii Forum miaka kumi iliyopitaKabisa ni neno ambalo hutumika kuonyesha msisitizo wa jambo.
Jambo Forum ndio ilizaa Jamii Forum miaka kumi iliyopitaKabisa ni neno ambalo hutumika kuonyesha msisitizo wa jambo.
miaka kumi iloyopita yule kijana alinilaghaiJambo Forum ndio ilizaa Jamii Forum miaka kumi iliyopita

miaka kumi iloyopita yule kijana alinilaghai![]()
pole sana jakitoo, ulimokosea nini?ulimkosea nini jpm mpaka akutumbue kwa kasi ilepole sana jakitoo, ulimokosea nini?
Anakuona na wewe uliyenitumia picha ya babu yako ukasema yakwako.Huyooo emmyta mungu anakuona

Anakuona na wewe uliyenitumia picha ya babu yako ukasema yakwako.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Huku shwari kabisa emmyta usiwaite watatupigia kelele hapa
Hapa kwetu dukani kuna bidhaa za bei rahisi.Huku shwari kabisa emmyta usiwaite watatupigia kelele hapa
Rahisi sana kuzinunua, hilo duka lenu lipo wapi?Hapa kwetu dukani kuna bidhaa za bei rahisi.
Wapi paleee. Ngoja nikumbuke halafu nitakwambia.Rahisi sana kuzinunua, hilo duka lenu lipo wapi?
Atar'![]()
edmiddy karibu, masharti na kanuni za huu uzi lazima uyazingatieNitakwambia nikitaka kujaWapi paleee. Ngoja nikumbuke halafu nitakwambia.
Kuja tu unakaribishwaNitakwambia nikitaka kuja
Unakaribishwa kwetu pia emmytaKuja tu unakaribishwa
emmyta nimekuona unakimbia, pole... huyu mfiwa huyuUnakaribishwa kwetu pia emmyta