Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Itapendeza sana tukipata na viatu vitakavyoendana na yale magauni yetu.peke yako peke yako haitopendeza mpaka tuwe wote watatu ndo itapendeza
Itapendeza sana tukipata na viatu vitakavyoendana na yale magauni yetu.peke yako peke yako haitopendeza mpaka tuwe wote watatu ndo itapendeza
Yetu sisi ni macho tuItapendeza sana tukipata na viatu vitakavyoendana na yale magauni yetu.
Tunaangalia kwa hamu zote ila.....Yetu sisi ni macho tu
Ila tuna hofu ndani ya mioyo yetuTunaangalia kwa hamu zote ila.....
Sote tuna mapungufuYetu sote
YakibinadamuSote tuna mapungufu
Yakibinadamu mapungufu ila kuna mengine yanatia shakaYakibinadamu
Online leo tangu asubuhi nimepitwa mambo murua kabisaShaka yangu ni pale nikuonapo online
Kabisa yaani vimekupita vingi sanaOnline leo tangu asubuhi nimepitwa mambo murua kabisa
Sana sana ulivyopost wewe, nimejilaumu kutoingia humu mapema, emmyta hata sms ya kawaida hujanitag.Kabisa yaani vimekupita vingi sana
Hujanitag mbona kwenye picha yako uloweka facebookSana sana ulivyopost wewe, nimejilaumu kutoingia humu mapema, emmyta hata sms ya kawaida hujanitag.
Facebook ni lugha gani?Hujanitag mbona kwenye picha yako uloweka facebook
Facebook is like nokia both are connecting peopleHujanitag mbona kwenye picha yako uloweka facebook
People's powerFacebook is like nokia both are connecting people

Power is the amount of energy put out or produced in a given amount of time ;People's power![]()
Kilowatts ndio mkubwa wake watts,Power is the amount of energy put out or produced in a given amount of time ;
It is often measured in watts or kilowatts.
Kabisa ni neno ambalo hutumika kuonyesha msisitizo wa jambo.Kilowatts ndio mkubwa wake watts,
Kithungu kilikuja kwa ndege kabisa
Jambo jema ni kumuheshimu kila mmojaKabisa ni neno ambalo hutumika kuonyesha msisitizo wa jambo.