Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,077
- 122,411
Kumpa wakati hata hajapatikanaZawadi gani unataka kumpa
Kumpa wakati hata hajapatikanaZawadi gani unataka kumpa
Hajapatikana wewe wasema, wote wanajua mimi ndio mwenyeweKumpa wakati hata hajapatikana
Mwenyewe wapi hebu nikumbusheHajapatikana wewe wasema, wote wanajua mimi ndio mwenyewe
Nikumbushe nyimbo nzuri za zamaniMwenyewe wapi hebu nikumbushe
Zamani hiyo 70s au 80s sema tuNikumbushe nyimbo nzuri za zamani
Sema tu nilijuwa bado mdogoZamani hiyo 70s au 80s sema tu
Mdogo wako yule wa kike msalimieSema tu nilijuwa bado mdogo
Msalimie mwenyewe hapa anakuonaMdogo wako yule wa kike msalimie
Anakuona ila ndio hana jinsi kwa vile ulivyomkataza asiende kuninunulia yale matunda.Msalimie mwenyewe hapa anakuona
Matunda gani unapendeleaAnakuona ila ndio hana jinsi kwa vile ulivyomkataza asiende kuninunulia yale matunda.
Unapendelea kula matunda au ugali mchana?Matunda gani unapendelea
Unapendelea ununue yapi mana matunda yote yana umuhimu mwiliniMatunda gani unapendelea
Hiki nilichokiona hapa leo siwezi kukisimuliaMwilini nimetoka mapele, sijui ni nini hiki
Kukisimulia tu. Hebu kisimulie na sisi tufaidike.Hiki nilichokiona hapa leo siwezi kukisimulia
Tufaidike na kula mahindi ya kuchoma japo hatulimiKukisimulia tu. Hebu kisimulie na sisi tufaidike.
mwenyewe akijua lazima atahamakiHajapatikana wewe wasema, wote wanajua mimi ndio mwenyewe
hatulimi kwasababu hakuna mvuaTufaidike na kula mahindi ya kuchoma japo hatulimi
Hatulimi ila kila kukicha tunawadharau wakulimaTufaidike na kula mahindi ya kuchoma japo hatulimi
Wakulima wa kule songea wanapiga sana hela za mahind kipind hiki,,nafurah kumwona huku jamvin swaiba PaprikaHatulimi ila kila kukicha tunawadharau wakulima