Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,107
- 122,493
Wewe una tabia mbaya ila. Mi sijambo ila hata kunichagulia kakitengo kwenye mpango wako wa harusi.Uliadimika uwepo wangu ila naendelea vizuri sijui wewe
Wewe una tabia mbaya ila. Mi sijambo ila hata kunichagulia kakitengo kwenye mpango wako wa harusi.Uliadimika uwepo wangu ila naendelea vizuri sijui wewe
Harusi imenoga sanaWewe una tabia mbaya ila. Mi sijambo ila hata kunichagulia kakitengo kwenye mpango wako wa harusi.
Harusi itanoga saana. Kwani wewe unafikiri nimekusahau eeeh? Kitengo chako nitakufanyia sapuraizi ila wewe unatabia mbaya zaidi maana haujaja huko kisa hauna kitengoWewe una tabia mbaya ila. Mi sijambo ila hata kunichagulia kakitengo kwenye mpango wako wa harusi.
Kitengo changu nilijua kitakuwepo ndio mana nikawa nasubiri ila usihofu nakuja.Harusi itanoga saana. Kwani wewe unafikiri nimekusahau eeeh? Kitengo chako nitakufanyia sapuraizi ila wewe unatabia mbaya zaidi maana haujaja huko kisa hauna kitengo

Kitengo changu nilijua kitakuwepo ndio mana nikawa nasubiri ila usihofu nakuja.![]()
![]()
![]()


yaani kicheko chako meno thelathini yote ndani nje. SikuweziSikuwezi daby mana sio kwa kunisingizia huko.yaani kicheko chako meno thelathini yote ndani nje. Sikuwezi
Huko kuna mambo mazuri kina sakayo na mamdogo wanacheza kwaitoSikuwezi daby mana sio kwa kunisingizia huko.
Kwaito itakuwepo kumbe nipachike tu huko nitakaa sina jinsi.Huko kuna mambo mazuri kina sakayo na mamdogo wanacheza kwaito
Jinsi ulivyo kibonge wewe walai unaweza kupasuka kwa vyakulaKwaito itakuwepo kumbe nipachike tu huko nitakaa sina jinsi.
Vyakula ndio vinifanye nipasuke. Hahahaaa Hapana nadhani uandae tu kagari kakunirudisha nyumbani mana sitaweza kutembea.Jinsi ulivyo kibonge wewe walai unaweza kupasuka kwa vyakula
Kutembea ukumbini kwenyewe nina mashaka nako kama utawezaVyakula ndio vinifanye nipasuke. Hahahaaa Hapana nadhani uandae tu kagari kakunirudisha nyumbani mana sitaweza kutembea.
Utaweza kunibeba kwani wakati utakuwa busy na bibi harusi. Sina jinsi itabidi nikija nisile sana ili nisiwape kazi.Kutembea ukumbini kwenyewe nina mashaka nako kama utaweza
Hiyo ya jfKadamnasi ya JF ama ya wapi hiyo?
Hiyo ya jf
Kweli mjiandae wana jf.JF tujiandae sio, maana naona umepania kuwa kweli