Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Paprika anapenda Sana jukwaa la chit chatWakulima wa kule songea wanapiga sana hela za mahind kipind hiki,,nafurah kumwona huku jamvin swaiba Paprika
Paprika anapenda Sana jukwaa la chit chatWakulima wa kule songea wanapiga sana hela za mahind kipind hiki,,nafurah kumwona huku jamvin swaiba Paprika
Chit chat kule haipiti wiki lazime kuwe na wapendanao wapyaPaprika anapenda Sana jukwaa la chit chat
Wapya wana jiachia sana.Tusubiri yakibumaChit chat kule haipiti wiki lazime kuwe na wapendanao wapya
Yakibuma unadhani watakuja cha zaidi watabadili id na kutafuta mitongozo upya.Wapya wana jiachia sana.Tusubiri yakibuma
Upya wa Nguo hakubadilishi tabiaYakibuma unadhani watakuja cha zaidi watabadili id na kutafuta mitongozo upya.
Tabia ndio kituu pekee binadamu anakimiliki kwa mujib wa falsafa,,Upya wa Nguo hakubadilishi tabia
Philosophy za kina Aristotle na BenthamFalsafa kwa kiingereza ndio philosophy
Bentham na akina Winston ChurchillPhilosophy za kina Aristotle na Bentham
Winston Churchill ndio nani huyo hebu nijuzeni na mimiBentham na akina Winston Churchill
Mimi ni MuafrikaWinston Churchill ndio nani huyo hebu nijuzeni na mimi
Muafrika ni jamii ya watu weusiMimi ni Muafrika
Muafrika wa kutoka wapi, soweto au mazense?Mimi ni Muafrika
Wazee wameshastaafu kazini kwasasaMuafrika wa kutoka wapi, soweto au mazense?
Au umetoka kule, kwa ndugu yetu Bashite?
Yeye ni mtaalamu, wa kupiga wazee makonde.
Ana munkari wa siasa, hana huruma na wazee.
Kwasasa hali ya Maisha ni teteWazee wameshastaafu kazini kwasasa
Tetemeko la Kagera halitasahaulikaKwasasa hali ya Maisha ni tete
Halitasahauliki sababu wamekula hela ya rambirambiTetemeko la Kagera halitasahaulika
Rambirambi nilishatoa. Mchezo bado upoHalitasahauliki sababu wamekula hela ya rambirambi
Upo unaendelea japokuwa uliadimikaRambirambi nilishatoa. Mchezo bado upo
Uliadimika uwepo wangu ila naendelea vizuri sijui weweUpo unaendelea japokuwa uliadimika