allan_joh
Member
- Apr 20, 2017
- 11
- 10
nalo limekua gari bora kati ya yote yaliyo shindanishwaLililopetea dude gani, ndugu naomba utujuze.
Mtoto wa kiume hapotezi dude lake, hilo anakufa nalo.
nalo limekua gari bora kati ya yote yaliyo shindanishwaLililopetea dude gani, ndugu naomba utujuze.
Mtoto wa kiume hapotezi dude lake, hilo anakufa nalo.
Mshindi lazima mimi niibuke kidedeaShindanishwa we na yeye tuone nani mshindi
Jengua hawezi kupambana na mimi kwenye huu mtanangeKidedea ya kina mzee Jengua..
Mzee jengua hivi bado yupo kweli kwenye uigizajiKidedea ya kina mzee Jengua..
Bongo movie ndio ya kina wema sepetu na shilole.Uigizaji bongo
Shilole?? Mimi naijua ya bongo movie ya King MajutoBongo movie ndio ya kina wema sepetu na shilole.
King majuto ndio muigizaji wa kweli.Shilole?? Mimi naijua ya bongo movie ya King Majuto
Kweli inawezekana ila inategemea na aina ya mpenzi uliyenayeEti mapenzi bila pesa inawezekana kweli..??
Kweli ukiwa na gari huwezi kupata shida kwenye usafiriEti mapenzi bila pesa inawezekana kweli..??
Usafiri wa daladala ndio mzuri hasa wakati wa kugombania magariKweli ukiwa na gari huwezi kupata shida kwenye usafiri
usafir wa punda ni bora kuliko mwendo kasi wa udartKweli ukiwa na gari huwezi kupata shida kwenye usafiri
Udart inapatikana DSM tu.usafir wa punda ni bora kuliko mwendo kasi wa udart
DSM tu ndio watu wake walio wengi wanakula mahindi ya kuchoma yaliyowekwa ndimu na pilipiliUdart inapatikana DSM tu.
Lini mshindi atapatikana humu niandae zawadiPilipili, tatutatu inakuja lini
Zawadi gani unataka kumpaLini mshindi atapatikana humu niandae zawadi