Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hutobadilika kivipi? Ndugu acha misimamo yako.

Hoja zako lazima zipite, usikilizi wenzako.

Umekuwa kama Ndugu Mrema, au machachari Zito.
Zito sana lile jambo ambalo limewaumiza wengi
 
Arudi kutoka wapi wakati yu nasi kila mahali nimekumiss mkuu
Mkuu wa Idara ya Chaputa anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa muda wa kuchukua fomu za kugombea uongozi ngazi ya Mwenyekiti wa Idara hiyo umewadia. Wote wenye sifa mnakaribishwa katika kinyang'anyiro hicho.
 
Hicho chama kipo wapi
 
Back
Top Bottom