KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,522
Lau kama huwajui, na wao hawakujuiWatu ambao siwajui, na wao hawanijui.
Mtandao umenipa, nafasi ya kuwaomba matunda.
Rabana analijua, tunda uliombalo
Lau kama huwajui, na wao hawakujuiWatu ambao siwajui, na wao hawanijui.
Mtandao umenipa, nafasi ya kuwaomba matunda.
Uliombao lile tunda, Rabana analijiua.Lau kama huwajui, na wao hawakujui
Rabana analijua, tunda uliombalo
Watang'amua lini Watanzania wa vijijini kuwa kuna haja ya kubadili Chama cha kutuongozaUliombao lile tunda, Rabana analijiua.
Hata ukitumia mafumbo ya matunda, wajanja watang'amua.
Kutuongoza hakuitaji chama, kunahitaji hekima.Watang'amua lini Watanzania wa vijijini kuwa kuna haja ya kubadili Chama cha kutuongoza
Watang'amua japo watashindwaUliombao lile tunda, Rabana analijiua.
Hata ukitumia mafumbo ya matunda, wajanja watang'amua.
Watashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa sababu wanalinda maslahi yaoWatang'amua japo watashindwa
Yao yamewashinda yangu watayaweza?Watashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa sababu wanalinda maslahi yao
Watayaweza endapo utawaruhusu kuyafanyaYao yamewashinda yangu watayaweza?
Kuyafanya mambo yasiyo kuhusu ni ujingaWatayaweza endapo utawaruhusu kuyafanya
Ujinga ni pale unapokula rambirambiKuyafanya mambo yasiyo kuhusu ni ujinga
Ujinga ni pale unapomuuliza demu kuwa umefurahi tendo/umekojoa mara ngapi?Kuyafanya mambo yasiyo kuhusu ni ujinga
Rambirambi imeliwa na nani?Ujinga ni pale unapokula rambirambi
Nani usiyemjua anayefanya vituko katika nchi hiiRambirambi imeliwa na nani?
Hii imekuwa gumzo lakini chanzo ni nani?Nani usiyemjua anayefanya vituko katika nchi hii
Huruma imepotea kwenye nyoyo za watu, mioyo imekuwa migumu zaidi ya mawe.Hii nchi inakula rambirambi sana bila huruma
Hilo la kula rambirambi hata mimi nimesikia jamani.Huruma imepotea kwenye nyoyo za watu, mioyo imekuwa migumu zaidi ya mawe.
Mungu atuepushe na hilo