Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Utandawazi unatulazimisha kutenga bajeti kubwa ya ununuzi wa vifaa vya kitekinolojia ili kuenda nao sambamba, vifaa ambavyo bado hatujawa na uwezo na umahiri wa kujidai navyo kwa kuwa bado hatuvitumii ipasavyo, kawaida wengi wetu hutumia vifaa hivi kwa mawasiliano na kupeana habari tuu, mfano wa vifaa hivi ni tarakilishi ama kwa jina jengine inajuilikana kama ngamizi na aghlabu wengi wetu kila tuendapo huwa pamoja na simu tamba zetu, ni juu yetu kuwa na tahadhari kubwa katika matumizi ya kila siku ya ngamizi .........
 
Matunda gani nayaomba, ndugu unauliza majibu?

Kama ulisoma fasihi, mstari wangu umeupata.

Matunda ya mtandaoni, hayamshindi sungura mjanja.
Mjanja lazima aelewe utaratibu wa uzi huu, kulikoni Zakumi mbona umeacha barabara utaumia rudi njia kuu tuendelee na mapambano.
 
Mjanja lazima aelewe utaratibu wa uzi huu, kulikoni Zakumi mbona umeacha barabara utaumia rudi njia kuu tuendelee na mapambano.
Mapambano kila siku, lini utapata uroda.

Wabongo acheni hizo, maisha ni njia fupi.

Kuleni matunda ya katikati, Mungu aliyowabarikia.
 
Back
Top Bottom