dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
hivyo yatupasa kushukuru kwa kila jambo...!Mno! Umemaanisha nini ulichosema hivyo?
hivyo yatupasa kushukuru kwa kila jambo...!Mno! Umemaanisha nini ulichosema hivyo?
Hivyo bhasi acha tuishie hapa kwa muda huu.Mno! Umemaanisha nini ulichosema hivyo?
Huu ni muda mwafaka wa kujuzana yale tusioyajuaHivyo bhasi acha tuishie hapa kwa muda huu.
tusiyoyajua ni yapi hayo embu tujuze tupate kujua kabla ujajinasuaHuu ni muda mwafaka wa kujuzana yale tusioyajua
Ujajinasua kutoka mikononi mwa watekaji, mtegemee Mungu atakusaidiatusiyoyajua ni yapi hayo embu tujuze tupate kujua kabla ujajinasua
atanisaidia leo jana na siku zote, kama ninavyo aminUjajinasua kutoka mikononi mwa watekaji, mtegemee Mungu atakusaidia
Amin amin nawaambie ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindao kuliko tajiri kuingia mbinguni...atanisaidia leo jana na siku zote, kama ninavyo amin
Mbinguni ni sehemu ambayo Mungu pekee ndio anajuwa vilivyomoAmin amin nawaambie ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindao kuliko tajiri kuingia mbinguni...
Vilivyomoo!!!?? Acha utani je na mwanawe Yesu kristuMbinguni ni sehemu ambayo Mungu pekee ndio anajuwa vilivyomo
Kristu nasikia atarudi ndio tutamuuliza ili tupate uhakikaVilivyomoo!!!?? Acha utani je na mwanawe Yesu kristu
Uhakika ni huu, mm ndio mshindi wa siku ya leo. Na mchezo unaishia hapa kila mmoja akashii then kulala, mvua hamuioni??Kristu nasikia alatarudi ndio tutamuuliza ili tupate uhakika
Hamuoni kua mm ndo wa mwishoUhakika ni huu, mm ndio mshindi wa siku ya leo. Na mchezo unaishia hapa kila mmoja akashii then kulala, mvua hamuioni??
Mwisho wake nitaibuka na zawadi nono ambayo sijawahi kuipataHamuoni kua mm ndo wa mwisho
Kuipata kutokea wapiMwisho wake nitaibuka na zawadi nono ambayo sijawahi kuipata
Wapi ulipopotelea wewe Arabian queen?Kuipata kutokea wapi
Hivyo usemavo mbn hamna ukweli wwte Mwifwa ,mimi nipo tu hapa nawajibika same tym nipo jfWapi ulipopotelea wewe Arabian queen?
Kuna uzi gani ambao ni mtamu zaidi ya uzi huu ambao umekulaghai kiasi hicho? Ni vyema tukajulishana vitu murua kama hivyo.
aHivyo usemavo mbn hamna ukweli wwte Mwifwa ,mimi nipo tu hapa nawajibika same tym nipo jfa
anasema yupo jf ?Jf ndioanasema yupo jf ?
jf(jamii forums) ina raha yake asikwambie mtuanasema yupo jf ?
Mtu gani jakitoo? Ebu nidokeze kidogo basi.jf(jamii forums) ina raha yake asikwambie mtu