Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mkuu tupendane, tuthaminiane, tusaidiane katika shida na raha hapo ndio tutafikia ndoto zetu.Kabisa siyo uungwana ila hata mimi nimedoea sehemu tu mkuu
Mkuu tupendane, tuthaminiane, tusaidiane katika shida na raha hapo ndio tutafikia ndoto zetu.Kabisa siyo uungwana ila hata mimi nimedoea sehemu tu mkuu
Mkuu na wewe, si nimewaambia woote humu mje kwangu leo nimewaandalia cha mchana au mlijua natania.Kabisa siyo uungwana ila hata mimi nimedoea sehemu tu mkuu
Zetu dua zao pesaMkuu tupendane, tuthaminiane, tusaidiane katika shida na raha hapo ndio tutafikia ndoto zetu.
Jamani emmyta ulitukaribisha kumbeMkuu na wewe, si nimewaambia woote humu mje kwangu leo nimewaandalia cha mchana au mlijua natania.
Karibuni jamani.
Jamani emmyta ulitukaribisha kumbe
Bhasi mimi sikuona hiyo karibu yako
Ulikuwa umepika chakula cha aina gani mkuu?
Jamani emmyta ahsante sana kwa mwaliko, Mungu akuzidishie zaidiMkuu na wewe, si nimewaambia woote humu mje kwangu leo nimewaandalia cha mchana au mlijua natania.
Karibuni jamani.
Pesa ndio habari ya mjiniZetu dua zao pesa
Pembeni mwa barabara huwaga napenda sana kutembea.Mkuu nimewapikia ugali, mchuzi wa samaki na mboga za majani pia kuna matunda pembeni.
Mjini kuna vitukoJamani emmyta ahsante sana kwa mwaliko, Mungu akuzidishie zaidi
Pesa ndio habari ya mjini
Emmyta kaonyesha uungwana, katukaribisha lakini tumepuziaPembeni mwa barabara huwaga napenda sana kutembea.
Vipi chakula chote kimeisha jamani emmyta?
Raha zako si zangu, kaka tukubaliane.
Tunda nakula kwa mrija, Mungu aliniobakia.
Mrija wangu si kichwa cha paka, kibamia nimebalikiwa.
Kulambalamba siwezi, kibamia nitakitumia.
Matunda yanashamili karibu na choo, ulimi na meno sipeleki.
Niiteni mzee wa shamba, bakteria wa chooni siwawezi.
emmyta huwa sio mchoyo hivyo alipika cha kutosha na wala hakijaisha.Pembeni mwa barabara huwaga napenda sana kutembea.
Vipi chakula chote kimeisha jamani emmyta?
Tumepuuzia mwaliko wa chakula cha mchana kwa emmyta.Emmyta kaonyesha uungwana, katukaribisha lakini tumepuzia
Hakijaisha lakini nikikiangalia siwezi kushibaemmyta huwa sio mchoyo hivyo alipika cha kutosha na wala hakijaisha.
Hakijaisha eti eeeee!!emmyta huwa sio mchoyo hivyo alipika cha kutosha na wala hakijaisha.
Atatukaribisha tusiwe na wasiwasi tuvute subiraTumepuuzia mwaliko wa chakula cha mchana kwa emmyta.
Ila siku nyingine atatukaribisha
Kushiba kwangu mpaka nile sahani tatu za wali.Hakijaisha lakini nikikiangalia siwezi kushiba
Hii inatokanana na kukosa pesa za kutoshelezea mahitaji yakoHakijaisha eti eeeee!!
Sasa nasema hivi ebu nipe direction nije nile mkuu maana si kwa njaa hii.
Yako haiwezi kupita hapa maana ni kubwa mno.Hii inatokanana na kukosa pesa za kutoshelezea mahitaji yako
Subira ya vuta kheriAtatukaribisha tusiwe na wasiwasi tuvute subira
Mno! Umemaanisha nini ulichosema hivyo?Yako haiwezi kupita hapa maana ni kubwa mno.